Mkutano ni leo jumapilikesho nawahi kutoka job mapema sana najitupia t-shirt ya 'nguvu ya umma' kisha najisogeza pande zile,gonga like hapa kusupport movement za chadema,viva chadema
na kirusi wa CHADEMA mke mdogo wa katibu wa kudumu na BEN masalia
msukuma gani wewe hadi leo hujabadilika, wenzio wamechoka na umaskini wewe bado unaendelea na umbulula, pole sana. Nenda kawalimie wazazi nyumbani, nahisi utawakana, sio maccm tena, nenda uone...