Ndesamburo kufanya mkutano Moshi kesho

Ndesamburo kufanya mkutano Moshi kesho

Anasema mwaka 2014 ni mwaka wakuchukua kila ikulu ya mtaa ndani ya tanzania
 
Ndesamburo anasema yupo fiti kiafya
 
Anasema 2015 ataendelea kugombea ubunge kama mungu akimuacha na afya njema
 
Anasema bunge la bajeti hawatakubali mwananchi maskini kuzidi kukamuliwa
 
Ametoa muda wa dakika tatu wananchi kuwasilisha kero ambazo angependa kuziwakilisha bungeni
 
Mbunge wa moshi mjini Mh. PHILEMON NDESAMBURO kesho akipa pamoja na viongozi wa CHADEMA mkoa wa Kilimanjaro,madiwani na Mstahiki Meya Wa Manispaa ya Moshi Mh. JAPHARY MICHAEL watafanya mkutano wa hadhara kesho katika viwanja vya relini kata ya Pasua kuanzia saa nane mchana

Yeah kuimarisha chama ni kazi ya siasa. Anafanya vyema kwa uhai wa chama.
 
Back
Top Bottom