Mbunge wa moshi mjini Mh. PHILEMON NDESAMBURO kesho akipa pamoja na viongozi wa CHADEMA mkoa wa Kilimanjaro,madiwani na Mstahiki Meya Wa Manispaa ya Moshi Mh. JAPHARY MICHAEL watafanya mkutano wa hadhara kesho katika viwanja vya relini kata ya Pasua kuanzia saa nane mchana
Sio kumjibu mtu bali ilikuwa kwenye ratibaKujibu mashambulizi ya Nape na Masalia?
na kirusi wa CHADEMA mke mdogo wa katibu wa kudumu na BEN masalia
Wawashwa side gani na CHADEMA na VIONGOZI wake???Viongozi wa kudumu hauwaoni kunako vyama vingine ni hapa tu wawashiwa??c upeleke huo ushauri kwa Mzee wa kiraracha na wale mliowazushia wameingiza container la Majambia ndio uje kwa mtu aliyeko mioyoni mwa watu?Shame on U zumbukuku usojitambua.
Good...!
Nape Nnauye alikuwa na NKORONGO BLOG lakini hatuoni PICHA za MKUTANONI VIPI???
na kirusi wa CHADEMA mke mdogo wa katibu wa kudumu na BEN masalia
Ni kweli hawa ni janga kwa JFNyie watu mliojiunga JF mwaka huu, hasa mwezi march, sijui mmelipwa nini na Nape na Mwigulu, hakuna ambacho mnaongea cha maana hapa Jukwaani, ni UPUUUUUUZZZZZZZZIIIIIIIIIII MTUPU!!!!
Mbunge wa moshi mjini Mh. PHILEMON NDESAMBURO kesho akipa pamoja na viongozi wa CHADEMA mkoa wa Kilimanjaro,madiwani na Mstahiki Meya Wa Manispaa ya Moshi Mh. JAPHARY MICHAEL watafanya mkutano wa hadhara kesho katika viwanja vya relini kata ya Pasua kuanzia saa nane mchana
Ni kweli hawa ni janga kwa JF