Ndesamburo kufanya mkutano Moshi kesho

Ndesamburo kufanya mkutano Moshi kesho

Magesi

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2012
Posts
2,587
Reaction score
578
Mbunge wa moshi mjini Mh. PHILEMON NDESAMBURO kesho akipa pamoja na viongozi wa CHADEMA mkoa wa Kilimanjaro,madiwani na Mstahiki Meya Wa Manispaa ya Moshi Mh. JAPHARY MICHAEL watafanya mkutano wa hadhara kesho katika viwanja vya relini kata ya Pasua kuanzia saa nane mchana
 
Kujibu mashambulizi ya Nape na Masalia?
 
na kirusi wa CHADEMA mke mdogo wa katibu wa kudumu na BEN masalia
 
hapo kazi ipo, Baada ya wananchi kulishwa sumu wanahitaji daktari wa kuwatuoa sumu hizo ili kurudisha imara afya zao. Good
 
Safi makamanda,mmeenea nchi nzima..GAMBA LA MWIGULU KARIBIA LIPATE MOTO
 
na kirusi wa CHADEMA mke mdogo wa katibu wa kudumu na BEN masalia

Wawashwa side gani na CHADEMA na VIONGOZI wake???Viongozi wa kudumu hauwaoni kunako vyama vingine ni hapa tu wawashiwa??c upeleke huo ushauri kwa Mzee wa kiraracha na wale mliowazushia wameingiza container la Majambia ndio uje kwa mtu aliyeko mioyoni mwa watu?Shame on U zumbukuku usojitambua.
 
haya maandiko yako yanaonesha unagegedwa sa hivi
 
Nape Nnauye alikuwa na NKORONGO BLOG lakini hatuoni PICHA za MKUTANONI VIPI???
 
Hivi huyu mzee bado anaweza hata kutembea? labda huo mkutano ni wa kutangazia wananchi kuwa ameamua kustaafu
 
na kirusi wa CHADEMA mke mdogo wa katibu wa kudumu na BEN masalia

Nyie watu mliojiunga JF mwaka huu, hasa mwezi march, sijui mmelipwa nini na Nape na Mwigulu, hakuna ambacho mnaongea cha maana hapa Jukwaani, ni UPUUUUUUZZZZZZZZIIIIIIIIIII MTUPU!!!!
 
Ni kweli hawa ni janga kwa JF
 
Mbunge wa moshi mjini Mh. PHILEMON NDESAMBURO kesho akipa pamoja na viongozi wa CHADEMA mkoa wa Kilimanjaro,madiwani na Mstahiki Meya Wa Manispaa ya Moshi Mh. JAPHARY MICHAEL watafanya mkutano wa hadhara kesho katika viwanja vya relini kata ya Pasua kuanzia saa nane mchana

ondoa sumu na weka kumbukumbu sawa huo ndiyo mpango mzima.kudos ndesa pesa
 
Back
Top Bottom