Ndesamburo: CHADEMA ni sawa na Mti wenye Matunda...

Alichochungumza Mzee Ndesamburo na miongoni mwa waasisi wa chadema ni kwlei kwani ndani ya chama chochote wasaliti na mamluku hawawezi kukosekana hivyo kinachotakiwa kwa viongozi kuwa makini na kuwachukulia hatua ya hali ya juu maaana chama chochote cha upinzani ambacho kinanguvu kinakumbana na maswahiba mengi sana kutoka chama kilichopo madarakani..[/QUOTE Mangi Mkubwa karibu JF msome hapa Mzee wetu.

[h=3]Ndesamburo: Ngumi zitapigwa bungeni[/h]

​
MBUNGE wa Moshi Mjini, Philemon Ndesamburo, (CHADEMA), amewataka Watanzania watarajie mapanbano makubwa zaidi bungeni, hata ikibidi ngumi kupigwa, ili kuleta ustaarabu na kutetea haki ya kidemokrasia katika chombo hicho cha kutunga sheria.
Ndesamburo ambaye amekuwa bungeni tangu mwaka 2000, alisema hayo jana katika mahojiano mafupi na gazeti hili, ofisini kwake Moshi Mjini.
Alisema nyakati zimebadilika na wabunge wa mwaka 2013 si sawa na wa mwaka 2000; kwani hawa wa sasa hawako tayari kuona kanuni zinavunjwa waziwazi.
Ndesamburo alikuwa akizungumzia kauli ya Spika wa Bunge, Anna Makinda, na Naibu wake, Job Ndugai, ambao wanadai kuwa baadhi ya wabunge wa CHADEMA ni vinara wa fujo bungeni.
 
Last edited by a moderator:
Eti mohamed kauliza swali kwa ndesa acha kutuzingua ili tuone muislm kauliza hamna udini cdm?pelaka maneno ya chooni mchaga na siasa wapi na wapi?
 
Alichochungumza Mzee Ndesamburo na miongoni mwa waasisi wa chadema ni kwlei kwani ndani ya chama chochote wasaliti na mamluku hawawezi kukosekana hivyo kinachotakiwa kwa viongozi kuwa makini na kuwachukulia hatua ya hali ya juu maaana chama chochote cha upinzani ambacho kinanguvu kinakumbana na maswahiba mengi sana kutoka chama kilichopo madarakani..[/QUOTE Mangi Mkubwa karibu JF msome hapa Mzee wetu.

[h=3]Ndesamburo: Ngumi zitapigwa bungeni[/h]

​
MBUNGE wa Moshi Mjini, Philemon Ndesamburo, (CHADEMA), amewataka Watanzania watarajie mapanbano makubwa zaidi bungeni, hata ikibidi ngumi kupigwa, ili kuleta ustaarabu na kutetea haki ya kidemokrasia katika chombo hicho cha kutunga sheria.
Ndesamburo ambaye amekuwa bungeni tangu mwaka 2000, alisema hayo jana katika mahojiano mafupi na gazeti hili, ofisini kwake Moshi Mjini.
Alisema nyakati zimebadilika na wabunge wa mwaka 2013 si sawa na wa mwaka 2000; kwani hawa wa sasa hawako tayari kuona kanuni zinavunjwa waziwazi.
Ndesamburo alikuwa akizungumzia kauli ya Spika wa Bunge, Anna Makinda, na Naibu wake, Job Ndugai, ambao wanadai kuwa baadhi ya wabunge wa CHADEMA ni vinara wa fujo bungeni.

Gamba Drug Dealer Mizigo
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom