Ndesamburo: CHADEMA ni sawa na Mti wenye Matunda...

Ndesamburo: CHADEMA ni sawa na Mti wenye Matunda...

CCM mjipange saana.. Mmebambikia kesi nyingi Viongozi na Wanachama wa CDM na kwa bahati mbaya mmechemka zooote..
Na mtambue ya Kwamba CDM iko ndani ya Mioyo ya Watanzania wapenda Mabadiliko na sio nyie wachache wapenda Rushwa na Ufisadi...

Nani kakudanganya? Mpenda Rushwa na Ufisadi ni DJ Mbowe anae chukua mikopo kwa Mafisadi alafu anakuja kuikopesha Chadema ASILI kwa Riba kubwa. SHTUKA WW ZOMBI...
 
watu wengi tumekuwa kishuhudia vioja vya ccm kuihujumu chedema na ccm imekuwa ikitumia nguvu kubwa na pesa nyingi kujaribu kuihujumu chadema hali ambayo wakati mwinginine imepelekea kuyumba kwa uchumi wa taifa, lakini tofauti na matarajio yao mara zote mambo wamekuwa yakienda kinyume na matarajio yao hali ambayo inawafanya wafikie hadi hatua ya kupoteza uhai wa wasio na hatia.
Lakini pamoja na yote hayo bado mungu ameendelea kuipigania chadema kwa kuioneshea mafanikio ya wazi kabisa ikiwa ni pamija na kasi kubwa ya ukuaji wa chama pamoja na ongezeko la manachama kila uchwao.
Lakini hilo pia lita jidhihirisha katika uchaguzi mdogo wa madiwa kwani kwa uhakika hadi kata zilizo nyingi zimeonyesha wazi kabisa kuwa zitatoka ccm na kwenda chadema kama ilivyo ada kwa baadhi ya chaguzi nyingi.
Hivyo pamoja na mbinu zote za ccm kuihujumu chadema lakini bado chadema itaendelea kuwa imara na zaidi itakuwa nguvu zaidi ya sasa kwani hivi visa vyote vinazidi kuiimarisha zaidi chadema.
Mungu ibariki tanzania ,mungu ibariki chadema.
 
ndesamburo.mtei.mbowe.lema ndio decision makers wa chadema. wana uchungu na saccos yao wako tayari kuua ukiyaingilia maslahi yao.wachagga oyeeee

Endelea kulisha umma wa watanzania pumba ila mwisho wa siku wananchi ndo wanamaamuzi yote.
 
Uongozi wa Chadema ufanye hima kuomvua Madaraka Zitto, Fununu zilizopo kwa ccm nikumtumilia Zitto Phase 3 kuendeleza Gumzo ili Wananchama wawe na mivutano na viongozi kushindwa kufanya kampeni za Chama bada yake kumjadili zitto .

Kama linataka Swala la Zitto lishe Mvueni haraka kwa mbinu zozote sivyo mutalea Malumbano Chadema, Zitto hajamaliza kulipa Fazila za ccm.
 
chama ni taasisi , hakiendeshwi kwa umaarufu wa mtu mmoja mmoja. Chama cha siasa sio klabu ya mpira ambayo nguvu yake kubwa ni mashabiki.
Siasa ni sera sio ushabiki. Ikifika pahali watu wakawa mashabiki tu inakuwa haileti maana yeyote.
Uongozi ni dhamana . Lakini inapofika watu wakajiona kiongozi ni chama hapo pana mushkheri.
Mzee ndesa yupo sahihi ni mtu wa busara.


mkoa wa kigoma una majimbo 8 ya uchaguzi. Chadema jimbo 1. Ccm majimbo 3. Nccr majimbo 4. Kwenye jimbo la zitto ana diwani 1 tu wa chadema. Je zitto ana ushawishi/umaarufu gani wenye manufaa kwa chadema?
 
Mzee hongera sana kwa hilo.Hata Mandela alifungwa akaitwa Gaidi akatukanwa bali baadaye shujaa.Jiulize ni majina yapi ya wanasiasa yanayotajwa sasa TZ
 
Mtoto wake mbunge viti maalum mwekee wake mbunge wa viti maalum,tuna macho tunaona tuna masikio tuna sikia,Chama cha Ukanda.
 
MBUNGE wa Moshi Mjini, Philemon Ndesamburo (CHADEMA), amesema matatizo yanayokikumba chama hicho kwa sasa yanatokana na kundi la watu wachache wenye uchu wa madaraka, ambao pia ---------- na Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Ndesamburo alisema kuwa wanaosababisha hali hiyo ni vijana ambao hawana uchungu na CHADEMA, na hivyo kushauri uongozi uchukue hatua stahiki ya kinidhamu kwa watu hao read more at.INNOCENT ISAACK MBWAGA

matunda gani,mbona hatuyaoni ya ukabila, ukanda au kuendesha chama kifamilia?
 
Mbona fedha nyingi alizopokea MBOWE na kakiri hazizungumziwi zinazungumziwa ambazo kapewa ZZK ambazo hazina ushahidi. Kosa akifanya MCHAGA sio KOSA akifanya kabila jingine KOSA, BADILIKENI acheni MAJUNGU.
 
Nani kakudanganya? Mpenda Rushwa na Ufisadi ni DJ Mbowe anae chukua mikopo kwa Mafisadi alafu anakuja kuikopesha Chadema ASILI kwa Riba kubwa. SHTUKA WW ZOMBI...

Naona una macho kama nazi lakn huoni! unaleta tuhuma za kuchonga zilizokanushwa na mh mkono? mwisho wenu na huyo mamluki ni aibu kuu! hamuwezi kushindana na mipango ya Mungu.Amini nawaambieni MUNGU Muumba Mbingu na nchi ataendelea kuwaumbua!
 
NGUVU YA ZITTO IMEMUINGIA HADI MKE WA JUNIO KILEO,KILEO NI YULE AMBAE ALILALAMIKIWA NA KUSHITAKIWA NA ZITTO KUWA ALIWEKA KWENYE MTANDAO WAKE HABARI ZA KUWA ZITTO KAONGWA NA CCM

MKE WA KILEO BI JOYCE KIRIA AAMUA KUANIKA UKWELI HADHARANI
Dada Joyce Kiria ambaye ni mwendesha kipindi cha Wanawake Live CHA EATV
Haya ndiyo maoni yake katika mjadala mmojawapo katika wall ya Albert Msando. Mjadala upo chini ya Kitila na Mwigamba wavuliwa uongozi.
"Kama CDM mmeamua kuchonga barabara, msiwaache wanaokwenda kinyume na Miiko na Maadili ya Uongozi. Mh Mbowe kazaa nje ya Ndoa! Mh Mukya kazaa na Mume wa mtu. HAO NI VIONGOZI WA AINA GANI??

Na Viongozi wengine wenye tabia za namna hiyo hawafai hata kuwa wajume wa nyumba 10...

CDM Mkiishia kwa ZZK mtakuwa Mmebagua sana. Na mtakuwa mmewaonea sana kina ZZK na his Team. Mtazamo tu

Yangu Macho...

Uaminifu ndo Msingi wa mambo yote! Ukishindwa kuwa mwaminifu kwenye familia yako, Ndoa yako, nyumbani kwako, hakuna mahali pengine utaweza kuwa Mwaminifu.

Hayo ya Ufisadi yanaanza na Mtu binafsi, Familia, ( Mke) na mwisho ndo Jamii...

Umeshindwa kuongoza Familia yako, ivi kweli Taifa ndo Utaliweza??

CDM msipokubali chujio liwapitie wote, mkabakia kuangalia tabaka na vidagaa mtachelewa sana kufika....

Mtazamo wangu na Msimamo wangu ndo huo...

Uchaguzi ujao ni heri kuchagua Mtu siyo chama! kama mambo hayatabadilika...

Note: Jazba inatoa watu povu kweli..mie huwa sijali

Hiyo inaitwa Vunja Ukimya, Elimika,

Uaminifu wa Kiongozi yeyote na dhamira yake ya kubeba Dhamana ya Matumaini ya Wananchi Ni Lazima Ianzie nyumbani kwake.

Kama Kiongozi ameshindwa kutunza Uaminifu kwa Mke wake, (familia moja) atawezaje kwa jamii (familia lukuki) kama Kiongozi ameiumiza familia yake ya watu wachache, atashindwa vipi kuwaumiza watanzania wengi asiowajua....

Unapomuumiza Mke wako aliyekuzalia Watoto, kwa kutoka nje ya Ndoa, tena Ukazaa huko!! wewe huna tofauti na Mafisadi wengine...

Hufai Kuwa Kiongozi hata wa Nyumba 10....

Huo ndo msimamo wangu mimi Joyce Kiria..... Tokeni povu lakini hamnisumbui ng'o... Ukweli daima nitasema ili niepuke Unafiki na Uzandiki niwe Huru...."

HAPA NAONA HATA KILEWO WA TINDIKALI YUPO NJIA PANDA
 
Nani kakudanganya? Mpenda Rushwa na Ufisadi ni DJ Mbowe anae chukua mikopo kwa Mafisadi alafu anakuja kuikopesha Chadema ASILI kwa Riba kubwa. SHTUKA WW ZOMBI...

Acha matusi dogo wewe ujue siasa siyo matusi.
 
Babu kasema, vipi wale wanae wawili wabunge wa viti maalumu! Chama cha familia

Vita kawawa,lusinde,malima,hussein mwnyi,january makamba baba zao ni wakulima au??? In the next 10 years robo tatu ya wabunge wa ccm watakua ni watoto wa vigogo xo kipi chama cha familia???? Ingia benki kuu nenda sekta zote af rudi apa tuambie ccm walivyorundika watoto wao uko we baki apa lia njaa
 
Mtoto wake mbunge viti maalum mwekee wake mbunge wa viti maalum,tuna macho tunaona tuna masikio tuna sikia,Chama cha Ukanda.

Una sabab nyngne??? Iyo ukanda mmeikrem mno....labda nikuulize kitu unajua viongozi wakuu wa chadema?? Katafute majina yao na kanda zao afu umwombe Mungu msamaha kwa kuchonganisha watu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom