Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 16,512
- 41,022
Siasa za Tanzania; zageuka kuwa za Kimataifa... Mfa Maji haachi kutapatapa?? Rais na Ban Kin Moon watamsaidiaje?
Labda atachaguliwa kuwa Naibu Katibu Mkuu UN - Kuiwakilisha Moshi Mjini.
Nchi hii nadhani tuna taahira wengi kuliko tunaowatambua!