Alifariki zaidi ya miaka 4 iliyopita..
Siwezi kushangaa maana leo kuna staff mwenzangu wa idara nyingine kaniulizia staff mwingine wa idara yetu.
Nikamwambia huyo alishafariki miaka 2 iliyopita, jamaa akajamaashangaa na kusikitika sana na akasema hakujua na hana taarifa.
Hivi vitu vinatokea.
Mwaka 2004 BBC Swahili kama sijakosea walienda huko kwa wamasai, wanawahoji wakasema rais ni Nyerere, nikashangaa, Nyerere alishakufa miaka 5 nyuma na alishastaafu miaka 19 nyuma ila jamaa hawana taarifa.