ndemla

Saidi Hamisi Juma (born 10 March 1996), known as Ndemla, is a Tanzanian footballer who plays as a midfielder for Premier League club Simba SC and the Tanzania national team.

View More On Wikipedia.org
  1. GENTAMYCINE

    Kama ni kweli Mchezaji niliyemkubali toka akiwa Simba B Said Ndemla anarejea Simba SC nitafurahi

    Ni Mchezaji ambaye sijui Mpuuzi gani ndani ya Simba SC alishauri atolewe kwa Mkopo. Said Hamis Ndemla ni Kiungp mwenye Kipaji kikubwa cha Soka na ana Faida kadhaa Kukaba, Kupiga Mashuti ni mzuri katika namba zote za Kiungo ile ya Sita na Nane na huzitendea haki. Anaondoka Mkude niliyemlea...
  2. Hussein Massanza

    Tumemsajili kiungo Said Ndemla kuchezea Singida Big Stars kwa miaka miwili

    Watu wa Soka, Leo tumemtambulisha rasmi kiungo bora wa soka hapa nchini, Said Hamis Ndemla, ambaye amesaini kutupatia huduma yake kwa miaka miwili. Ndemla sifa zake zinajieleza zenyewe. Amekuwa mchezaji ambaye kiwango chake kinapanda siku hadi siku. Atatufaa sana kwenye kufikia malengo yetu ya...
  3. mugah di matheo

    Wanasimba : Special campaign ya kumrudisha Ndemla kikosini

    Habari za muda huu Naleta mada kibishi hapa jukwaani. Hivi wanasimba wenzangu hatuwezi kushinikiza Said Ndemla kurudishwa kikosini? Ukilinganisha Aliondolewa Ndemla akaletwa kanute na Abdulswamadu lakin Abdulswamadu akashindwa kushaine hivyo akatolewa kwa mkopo. Saiv uongozi unahangaika na...
  4. M

    Ndemla, we miss your long-range shoots

    Imekuwa ni muda mrefu sasa hatujakuona ukicheza katika timu yetu pendwa na tatizo sijui nini. Myself nai-miss sana ile mikwaju yako ya mbali ambayo katika timu yetu hiyo ni speciality yako tu na simuoni mchezaji mwingine kufanya hivyo. Wasiwasi wangu ni kuona kipaji hiki kinaweza kupotea na...
Back
Top Bottom