Ndemla aanza mazoezi ndani ya klabu ya AFC Sweden, kutumia siku 14

kirerenya

JF-Expert Member
Aug 27, 2013
1,696
2,252

Kiungo wa Simba, Said Hamis Ndemla ameanza majaribio jana katika kikosi cha AFC ya Sweden.
Ndemla raia wa Tanzania, anatarajia kuendelea na majaribio hayo ya siku 14 leo lakini kuna siku mbili atalazimika kusimama.

“Siku mbili hatafanya majaribio kwa kuwa timu yake itakuwa na mechi mbili za mwisho za ligi,” alieleza msimamizi wake.

“Siku za mechi ataungana na wenzake ambao watakuwa hawachezi kushuhudia. Timu yake inapambana kuepuka kuteremka daraja.”
 
Hongera zake..ila akifanikiwa asiwaze kurudi nyumban kama yule mwenzake eti ameimiss ngada
 
Kajiunga na timu inayotegemewa kushuka daraja???
Na timu yenyewe usikute iko daraja la 6
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…