Ndele; faida na madhara yake

Daaah.xema vtu hvi ilikuw zaman xahvi mbwembwe tuu za wanamazngambwe
 
Nyakati hizi za magonjwa yasiyo na tiba kuchanjwa ndele ni sawa na kutafuta kufupisha maisha yako [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Ya kweli hii?
 
Siku hizi ngumu, nyingi zimebaki story.... Bingwa wangu kazima mwaka jana... Alikuwa na maarifa mengi lakini mbinafsi
Mkuu kwa hiyo ndo haiwezekani tena kuipata ndele?.….nna shida nayo sana mkuu....

Tuwasiliane tafadhali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…