resident of the Dangote Group of Companies Alhaji Aliko Dangote has acquired a Bombardier aircraft for his private uses. The jet is valued at $45m. Its acquisition coincided with his 53rd birthday on Saturday.
Heh heh watu kwa uchokozi mpaka mumeonyesha ndege ya bilionea wa Arusha,wakati wenzake wanarusha kutoka majiji,mabara mbalimbali bilionea wetu alikuwa anarusha kutoka kwenye mashamba ya ngano West Kilimanjaro hadi Arusha lol !