Mjusi Sharobalo
JF-Expert Member
- Sep 4, 2025
- 8,307
- 14,628
- Thread starter
- #21
Ni jambo la muda tu, shida ya Watanzania ni kutokuthamini vya kwenuItakua oil chafu basi sio diesel wala petrol wakifika kurusha kwa kutumia mafuta ya kula niite nije
Ni jambo la muda tu, shida ya Watanzania ni kutokuthamini vya kwenuItakua oil chafu basi sio diesel wala petrol wakifika kurusha kwa kutumia mafuta ya kula niite nije
Ahhajaja kuna mwamba mmj sijui ameishia wapi....mmiliki Upendo Bus alifungua kiwanda chake...Yutong aseeeNdio nawaambia awatengenezi bali wanaungaunga vipande vipande au vipuli
Alikua na uthubutu alianza na vpul baadae angetengeneza vyake ila Tz wanga sana WALIMLOGA!.Ahhajaja kuna mwamba mmj sijui ameishia wapi....mmiliki Upendo Bus alifungua kiwanda chake...Yutong aseee
Ayaaaa ....ķwa hiyo ile project imekufa? Kazi sanaa.....watu wabayaAlikua na uthubutu alianza na vpul baadae angetengeneza vyake ila Tz wanga sana WALIMLOGA!.
Hiyo ndiyo shida yetu Africa, siyo kwamba hatuna uwezo wa kubuni vitu, tunao, ila watu wasiopenda maendeleo ya mtu mwingine lazima watakuwahi, wazungu wanalitambua hilo kwao uchawi unatumika katika kuleta maendeleo na si kudidimiza maendeleo, ndio maana wapo juu, hatuwezi kuendelea kama hatuta tupilia mbali Roho za kichawi.Ayaaaa ....ķwa hiyo ile project imekufa? Kazi sanaa.....watu wabaya
PETROL ile nyekundu kama pombe unazo Lewaga WakuacheHivi bodaboda zinatumia mafuta gani
Binafs unapendekeza awe wazir gan? Ili akifa isiwe msiba kwetu, tukale ubwabwa kwa aman.Nashauri wamchukue waziri yoyote akatest mitambo angani
Binafs unapendekeza awe wazir gan? Ili akifa isiwe msiba kwetu, tukale ubwabwa kwa aman.Nashauri wamchukue waziri yoyote akatest mitambo angani
Wewe umeshindwa?Wanaresembo resembling hata wewe unaweza ukafanya tu
Hata Mchengerwa itapendeza SanaBinafs unapendekeza awe wazir gan? Ili akifa isiwe msiba kwetu, tukale ubwabwa kwa aman.
Si ndo yule wa kitengo cha pesa au mwingine?Hata Mchengerwa itapendeza Sana
Sio huyoSi ndo yule wa kitengo cha pesa au mwingine?
Hata huyo anafaa, ila angekuwa wa pesa ndo angependeza zaidi, huwezi kuhuzulia msiba wa wazir wa Fedha ukala mahalage kabsa.Sio huyo