Mjusi Sharobalo
JF-Expert Member
- Sep 4, 2025
- 8,287
- 14,592
Wahenga walisema penye nia hapokosi njia, hatimae leo tunashuhudia jambo jipya na ambalo unaweza kufikiri haliwezekani, Timu ya vijana 13 wa kitanzania mkoani Morogoro wamefanikiwa kupaa angani kwa mafuta ya bodaboda
Mainjinia hao wanatengeneza ndege ndogo aina ya Sky leader 500 pamoja na Sky leader 600, Mpaka sasa ni ndege 9 zilizo undwa na ndege 5 zilizo tear kwa matumizi
Lengo ni kutengeneza ndege kubwa za abilia na si kuishia hapo tu, Hii inawezekana hakika na ni ajabu, Tuwape moyo na kuwaunga mkono, Vijana wenye maono kama haya ni wachache sana hapa nchi.