Ndege za Israel zaanza kuponda maeneo ya Hamas kule Gaza

Status
Not open for further replies.

Swat

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
4,199
1,975
Hii ni baada ya Hamas kuwateka na kuwaua watoto watatu wa ki israel. Netanyahu amekaririwa akisema Hamas watalipa mara mbili! Watoto hao wamezikwa leo. Source:DW. My take,nachoona wataumia mpaka wasiohusika kama wanawake na watoto wa ki palestina. Sijui mzozo huu utaisha lini na tuombe Mungu asaidie uishe!
 
Bokoharamu!
 
Wale watu wameshajikaririsha kwamba Israel/Palestina bila amani haiwezekani coz vitabu vitakatifu vimetabiri hilo!

Upuuzi mtupu!
 
Hii ni baada ya Hamas kuwateka na kuwaua watoto watatu wa ki israel. Netanyahu amekaririwa akisema Hamas watalipa mara mbili! Watoto hao wamezikwa leo. Source:DW. My take,nachoona wataumia mpaka wasiohusika kama wanawake na watoto wa ki palestina. Sijui mzozo huu utaisha lini na tuombe Mungu asaidie uishe!
Kwani waliouawa nao si watoto? au nimesoma vibaya.
 
Hii ni baada ya Hamas kuwateka na kuwaua watoto watatu wa ki israel. Netanyahu amekaririwa akisema Hamas watalipa mara mbili! Watoto hao wamezikwa leo. Source:DW. My take,nachoona wataumia mpaka wasiohusika kama wanawake na watoto wa ki palestina. Sijui mzozo huu utaisha lini na tuombe Mungu asaidie uishe!

mgogoro utaisha lakini sio leo,hesabu miaka 200 ijayo.
 
Bokoharamu!
Mkuu Bokoharamu ni mimi au hao waliopigwa mabomu. Kama wamaanisha mimi nitake radhi kwani mi huwa siamini kwenye mauaji na kulipizana visasi. Hata hao watoto wa israel kuuawa nimesikitika sana kwani nilikua nikifuatilia progress toka day one walivyopotea. Cha muhimu tuombe amani pale midlle east!
 
mgogoro utaisha lakini sio leo,hesabu miaka 200 ijayo.
dah,mkuu Elungata Mungu apishe mbali.Nimeona hao Hamas na wale Wa ISIS waliopo Syria na Iraq jinsi walivyokua wakiwaua point blank mateka wao,dah, mkuu ukiona unaweza usile chakula au up usipate usingizi. Zipo youtube na kwenye blog flani.Ndio maana naombea amani ya kudumu eneo lile.
 
Last edited by a moderator:

Ndo `walokole' Wa Kiislam
 
Last edited by a moderator:
Hakuna njia nyingine ni jino kwa jino Israel na wapalestina hawana mazungumzo ya kidiplomasia. ukiua nami naua basi.
 
Na hii ndiyo itakayoendelea kutokea mkuu kwani nimenuona Netanyau leo anavyoongea,yupo more than serious!
 
Ila ni ujinga baba mzima kukateka katoto na kukaua kisa ni Muisraeli.Duh!? kama wanaweza watangaze vita kabisa sio kuua watoto afu wakitutuswa na midege ya Israeli makele kibao
 
Hii ni baada ya Hamas kuwateka na kuwaua watoto watatu wa ki israel. Netanyahu amekaririwa akisema Hamas watalipa mara mbili! Watoto hao wamezikwa leo. Source:DW. My take,nachoona wataumia mpaka wasiohusika kama wanawake na watoto wa ki palestina. Sijui mzozo huu utaisha lini na tuombe Mungu asaidie uishe!

Wengi wa uliosema hapo wanahusika, maana hawakupaza sauti kwa Hamas wawachie. Maana Bibi alishasema kuwa kutakuwa na implications kama wakiuawa. Sasa kama walikaa kimya, ni zamu yao. Wale watoto wasiokuwa na akili ya kufanya hayo ndio wa kuwahurumia na kuwaombea.

Suluhu ya mgogoro huu ni hawa jamaa wa Jordani akina Abu Mazen and co na Waajemi, kurudi kwao na kuwaachia Wayahudi taifa lao.
 
Ila ni ujinga baba mzima kukateka katoto na kukaua kisa ni Muisraeli.Duh!? kama wanaweza watangaze vita kabisa sio kuua watoto afu wakitutuswa na midege ya Israeli makele kibao
Ila ni sahihi kwa Israel kuporomosha makombora na kuua watu irrationally.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom