Ndege yaanguka ziwa Manyara

Abiria wote wameokolewa,Mungu ni mkubwa.Pilot aliomba kubadili mwelekeo atue Arusha kwa dharura ikashindikana kuwahi akatua ziwani.

Kwa maneno haya ina maana ndege imetua ziwani kwa dharura na wala sio kuwa imeanguka ziwani
 

Mmh jamaa una akili wewe, nidai beer moja jioni
 
Ziwa manyara si kama karai tu so wasingeweza kujaza, tena saivi maji yanakuwa nusu unakatiza kwa mguu toka huku lowland forest hadi kiwandani minjingu
 
Hao watu walikuwa wanatoka bukoba kwenye msiba, mume wangu ni mmoja wa walioenda msibani, na alinipa hii taarifa saa 8, ila wameokolewa wote
 
Kwahiyo nauli ndo inafanya ishu kuwa Breaking news??

pigia mstari mkuu, ndio maana tukidanja wengi kwenye madala madala yetu au bus za mikoani nauli ikijumlishwa inakua kubwa inabidi itangazwe kama breaking nyuuuuz ila kibus kimoja ainachuniwa tu. :tongue:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…