Ndege yaagizwa kuua mbu mto Msimbazi!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ndege yaagizwa kuua mbu mto Msimbazi!!!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Lole Gwakisa, Aug 18, 2010.

 1. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #1
  Aug 18, 2010
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  Na Grace Ndossa
  MIPASHE,Agosti 18 2010
  "Serikali imeagiza ndege, kutoka Kenya kwa ajili ya kunyunyizia dawa,katika bonde la Mto Msimbazi ili kuuwa mbu walioenea katika Hospitali ya Taifa Muhimbili(MNH).
  Kauli hiyo ilitolewa Dar es salaam jana, na Kaimu Mkurugenzi wa Hospitali hiyo. Dkt. Rozina Kipyoga,"

  My take:
  This is too much.Wataalamu wetu hawa wameishiwa mawazo juu ya hygiene kwa sehemu kubwa kama bonde la Mto Msimbazi.
  Life cycle ya mbu ni siku chache sana,sasa baada ya mwezi wataagiza tena hiyo ndege baada ya mbu wengine kuzaliana?
  Na gharama la hilo zoezi je? kwa hatua zinazoweza kuleta unafuu wa wiki moja au mbili?
  Wataalam waache kuleta solutions ambazo hata wao wenyewe wanajua ni fake.
   
 2. MTWA

  MTWA JF-Expert Member

  #2
  Aug 18, 2010
  Joined: Aug 5, 2009
  Messages: 1,026
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
   
 3. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #3
  Aug 18, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  nimesikia jana kwenye taarifa ya habari TBC1 nikapigwa na butwaaaaa...nchi yenye uongozi uliooza na watendaji wake na mawazo yao yanakuwa yameoza pia
   
 4. MTWA

  MTWA JF-Expert Member

  #4
  Aug 18, 2010
  Joined: Aug 5, 2009
  Messages: 1,026
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Ni kweli kabisa kwa wanaoelewa, lakini kuna wengi tu wabongo ambao wanaona kuwa ni uamuzi mzuri kwa serikali.
  Unajua kuna watu huwa wanaishi karibu kabisa na harufu halafu pua zinazoea na kuon ni nzuri tu.

  Kuna watu jana ileile wanasema "SERIKALI INAJITAHIDI KUWALETEA WATU MAENDELEO! NDEGE HADI KENYA"
  Hvyo viongozi bado hatuna na watu pia bado tupo mbali sana na hali halisi
   
 5. payuka

  payuka JF-Expert Member

  #5
  Aug 18, 2010
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 832
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Hii ndo Tanzania yetu .....viongozi wetu hawafikirii mbali kwani badala ya kutafuta permanent solution wanarukaruka na issue za kipumbavu

  swali dogo tu; kwani hawa mbu wameanza leo? Je' nini kiliwasukuma wakenya hadi wakaamua kuwa na ndege yao ya kuspray?

  Ha ha ha Kumbe ndo maana wakenya walikuwa wanahimiza uharakishwaji wa kuunda jumuiya ya east afrika .....kwa sababu walijua kuna benefits kibao .....kwani other other members wamelala.
   
 6. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #6
  Aug 18, 2010
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 722
  Trophy Points: 280
  huu upuuzi nani kaagiza?
   
 7. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #7
  Aug 18, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Nashindwa nicheke au nisikitike yaani unaagiza ndege kwa ajili ya kuja kuua mbu ina maana wataalamu wetu katika sekta ya afya ni kitu gani ambacho kimewashinda kweli kuna mambo mengine unashindwa hata kuyapatia majibu
   
 8. M

  Mgalatia JF-Expert Member

  #8
  Aug 18, 2010
  Joined: Nov 28, 2007
  Messages: 297
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Kwa hiyo maelezo yote yaliyokuwa yakitolewa sabasaba na wizara ya afya kuwa kuna mpango wa kuua mazalia ya mbu kwa kumwaga dawa ambayo iko katika hali ya vichengachenga ni usanii?. Nashindwa kuelewa hivi nchi hii tunaenda wapi hasa.Kwani ikifanywa fatiki ya siku moja kusafisha mto na bonde lote la msimbazi kwa kutumia mgambo wa jiji itashindikana? au baadala ya kulundika watu magerezani wahukumu watu kufanya usafi,si tungeweza? Huu ufisadi utatupeleka kubaya sasa
   
 9. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #9
  Aug 18, 2010
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,043
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  nimependa mawazo ya NEW MEMBERS......mimi nawaita..."SERENGETI BOYS WA JF"....kwa kweli kama tuka chukua GEREZA MOJA TU lingeweza tosha maliza shida nyingi sana....naunga mkono hoja!
   
 10. D

  Dick JF-Expert Member

  #10
  Aug 18, 2010
  Joined: Feb 10, 2010
  Messages: 477
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mkurugenzi Mtendaji ajiuzuru mara moja.
   
Loading...