maroon7
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 11,277
- 15,522
Kuna taarifa kwamba ndege ya Precision kutoka Zanzibar ilipata hitilafu na injini ya kushoto kushika moto wakati ikiwa kwenye spidi ikijiandaa kupaa usiku wa kuamkia leo ijumaa tarehe 17.06.2016. Bahati nzuri rubani alishtukia hitilafu hiyo na kuwahi kusimama na abiria wote kushuka salama. Ajabu zimamoto hawakufika eneo la tukio karibu nusu saa nzima baada ya tukio hilo uwanja wa ndege wa Zanzibar.
Taarifa zaidi kukujia
===============================
Taarifa zaidi kukujia
===============================