Umeandika kitu... PakaJimmy ilibidi atuambie pia approach ya ndege ilikuwaje..Arusha Airport ni uwanja mdogo ambao hauna instrumental Approach plate kitu ambacho kina-msaidia sana rubani kuteremeka kwa uhakika zaidi...lakini kutokuwepo kwake husababisha marubani kumalizia ujuzi na madoido yao katika visual approach..mara nyingi hapa kuna majaribu yake... Mfano hawa jamaa wa asiana na ujanja wao walishindwa visual..Asiana 777 pilot: SFO visual approach landingWengi walioandika ni kwa ku-speculate bila kuwa na picha kamili.Speculation yangu.....Inaelekea kulitokea failure ya anti-skid system kwenye tairi moja ambalo kwenye picha laonekana limepigwa pasi...(layers za plies zinaonekana) likasababisha tairi pacha kuchukua uzito lakini ama lilishindwa, au liliharibiwa na tairi lililopasuka mwanzo. Matairi ya upande wa pili yalipata "normal" load/stress failure kwa kubeba mzigo wa ndege nzima ukichanganya na braking.
Kama huna ujuzi wa jambo husika ni vyema kukaa kimya! Toka lini ukaona tairi la ndege linawekwa kiraka? acha kutia chumvi na kuwapotosha wengine
Mimi ni muhandisi kwa taaluma, ukisoma maelezo yangu nauliza maswali kuliko kuitoa statement.
Ukiweka alama ya kiulizo mwisjhoni hiyo siyo statement hata kidogo.
Sasa napotosha nini???
Soma taarifa nzima kwa makini.
Aliyeleta mada ndiye kaanzisha habari za pechi au viraka. Unauliza ujuzi gani????
Be more specific bro. Siyo unakuja na vague statements and baseless accusations.
Wengi walioandika ni kwa ku-speculate bila kuwa na picha kamili.
Hata PakaJimmy ameeleza aliyoyaona kwa macho, halafu akayavuruga kwa ku-speculate kua tairi inaonekana imetiwa kiraka.
Hakuna tairi ya ndege inayotiwa kiraka. Utaalam huo haupo dunia nzima.
Wataalam kutoka TCAA, Precision Air wenyewe, kampuni zilizotengeneza matairi, landing gear, brake anti-skid systems na wa ATR watakuja na jibu baada ya uchunguzi kamili. Kisheria za ki Mataifa wanawajibika hivyo.
Speculation yangu.....
Inaelekea kulitokea failure ya anti-skid system kwenye tairi moja ambalo kwenye picha laonekana limepigwa pasi...(layers za plies zinaonekana) likasababisha tairi pacha kuchukua uzito lakini ama lilishindwa, au liliharibiwa na tairi lililopasuka mwanzo.
Matairi ya upande wa pili yalipata "normal" load/stress failure kwa kubeba mzigo wa ndege nzima ukichanganya na braking.
Rubani did a great job kuihimili ndege kwenye njia ya kutua. Inawezekana ndege ingevutwa sana upande ulioanza kupasuka matairi na ingeweza kuacha njia.
Ingelikuwa balaa ya ndege yote kuteketea. At least amejitahidi kwa hilo.
Here I lay my two cents worth!!
Matairi yote yenye tube na yale ya Tubeless yote yanaweza kuwekwa viraka.
Kiraka cha tairi la tube huwezi kuweka kwenye tairi la tubeless.
Tubeless Patch kit
Tube patch
Nikiwa mmoja wa abiria tuliosafiri na PW kurudi Arusha leo, ndege ya shirika hilo yenye usajili No 5HPWI imepata kizaazaa wakati wa kutua baada ya tairi mojawapo kupasuka kwa kishindo, likufuatiwa na mengine yote ya nyuma ambapo yalipasuka pia na kuacha vipandevipande kwenye njia ya kurukia.
Waliookota vipande hivyo wamesema kuwa wamekuta viraka(pechi, watu wa magari wananielewa zaidi hapa), kitu ambacho si kawaida kwenye usafiri wa jamii hii!
Rubani wa ndege hiyo amejitahidi kuitoa ndege hiyo nje ya njia ili kutozuia ndege nyingine kuruka, japokuwa mwishowe ilimgomea kabisa na kubaki ikisota pembeni mwa njia hiyo.
Kikubwa ni kwamba hakuna madhara yaliyowapata abiria, akiwemo Bwana Lowassa.
View attachment 126474
Just for your information:-
Hakuna kuweka kiraka kwenye matairi ya ndege ya aina yeyote ile hata ndogo za binafsi.
Picha unayoleta ya bicycle-tube-patch repair set..... Unataka kulinganisha na tairi la ndege??? Are you kidding me?
Rather than expose your ignorance, sikiliza na elemika mkuu.
hata sikumbuki nilichoandika. Sema we ni mkristo siyo msomi. unaweza kuwa msomi kama Zitto, halafu unahudhuria kwa babu