Ndege ya nne, Boeing 787 Dreamliner kutua nchini kesho Julai 08, 2018 saa nane mchana

Muda ndo utasema kama Raia wanamuelewa au la....... Trust me, mwaka 2020 Ukawa mtapigwa 90% kwa 10%. Kitakuwa kipigo cha Mbwa koko
Hata akipata 100% ni sawa sitashangaa,mwenyekiti wa tume anateuliwa na nani?mkurugenzi wa tume je?na wanapewa na vyeo uchaguzi ukiisha,wakurugenzi wa halmashauri ni wateuliwa wa nani?na si ndo wanasimamia uchaguzi?polissm je?lazima mshinde vizuri.unaamini huwa wanashinda kwa haki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…