Billal Saadat
Senior Member
- Nov 30, 2022
- 169
- 356
Wanafikiri tumesahau aisee.Hizo ndege zilinunuliwa na JPM.
Ni kweli hiyo ilikuwa kwenye ahadi za JPM kipindi anafungua Bunge na Samia akiendeleza baada ya mwaka mmojaSiyo tunamalizia kupokea mzigo alokuwa amelipia cash hayati? hope kabla kamala hajatua bongo itakuwa imefika,mambo ya diplomacy hayo😅mitano Tena kwa mama akeee 🎵🎺
Magufuli alopokuwa ananunua ndege alipingwa na wakina Ayatollah Zitto Kabwe, mbona Mama naye ananunua hasemwi?Ndege ya kwanza ya mizigo mali ya Air Tanzania A 767-300 imeonekana katika karakana ya Boeing Washington ndege hiyo ina namba za usajili 5H-TCO...
Kuna siku mtakiri kuwa JPM alikuwa kichwa!Njooni chukueni mpeleke Chato kama ni mali yake.
Tukisemahali ngumu ya maisha iliyoko sasa ni matokeo ya utawala wa magufuli, mnakataa. Ila ndege mnasema alinunua magufuli.Hizi Ndege zininunuliwa wakati wa Magu.
punguzeni uchawa