Ndege ya Malaysia A/line yapoteza mawasiliano

Ndege ya Malaysia A/line yapoteza mawasiliano

Buh i wonder if the blackbox can survive,why not make the whole plane with blackbox material???!!...mana accidents za ndege are terribly fatal..
badiebey kuna story nimeona sehem inahusu hii sagga am not pretty sure kama ni drama za watunzi wa movie ama ni kweli, chek hizo screenshots hapo juu

Sent from Nokla using Jf app
 
Last edited by a moderator:
Ni moja bonge la conspiracy! Nimeikubali sana!

Mkuu hivi wamarekani wanaweza kuwa na roho mbaya kiasi hiki? Kuuwa hao watu wote? Waaustralia 6 wamekufa na ni washirika wa marekani how comes wauwe wadau wao?

Jana kwenye hotuba bungeni Tonny Abott amejitolea kuwapa free visa waombolezJi wote na mwenyekiti wa Wachina waishio australia ameomba wasaidiwe zaidi hasa kisaikolojia sio visa fee tu. Kama ni kweli basi wamarekani ni balaa ktk dunia hii

It realy makes sense that the act was not free from human conspiracy
 
This story sounds like true kwa nini siku mbili za mwanzo simu zao zilikuwa zinapatikana. Inawezekana ni hiyo operation ilikuwa inaendelea. Military mission hiyo jamani. Wanaamini kupoteza watu kwa maslahi yao siyo issue sana
 
7 military, 5 civil aircraft involved in Wednesday's search for missing Malaysia Airlines plane, Australian authorities say - amsA
 
Last edited by a moderator:
4 aircraft reach missing Malaysia Airlines flight search area; another 3 en route, authorities say - amsA_News
 
Last edited by a moderator:
4 Chinese ships reach search area for missing Malaysia Airlines flight; 5 aircraft already on scene - amsA_News
 
Last edited by a moderator:
Search operations for missing Malaysia Airlines plane suspended due to bad weather; all aircraft, ships returning to land - amsA_News http://www.breakingnews.com
 
Last edited by a moderator:
10:59PM
news icon

This picture is believed to be the youngest passenger on flight MH370. Wang Moheng was just a few days shy of his second birthday when the plane vanished along with 239 people including his parents and grandparents. According to a friend of the family they went to Malaysia to get away from the smog of Beijing.
 
Attachments

  • 1395898578937.jpg
    1395898578937.jpg
    16.6 KB · Views: 208
Thailand spots 300 floating objects in the Indian Ocean during missing jet satellite search, space agency says - @AFP
 
I knew it from day 9 na niliindika kuwa ni propaganda tu mbona america hawajihusishi sana na ndio huwa kimbelembele well tutasikia mengi sana na Crimea wamepewa urusi makusudi
 
I knew it from day 9 na niliindika kuwa ni propaganda tu mbona america hawajihusishi sana na ndio huwa kimbelembele well tutasikia mengi sana na Crimea wamepewa urusi makusudi

Inasemekana waamerika wamehusika vema kwenye hiyo sakata kutona na viral story tuzipitiazo kwenye mitandao
 
Haiwezekani kabisa kutuaminisha theory zao za left turn, kwa nini pilot asiruhusu abiria kufunga miavuli na kutoroka ikiwa walikuwa wanafahamu hatima yao, lazima majemadari wa miavuli wangetuletea habari, so hii kitu ni technological approval sasa mbaya zaidi experimental design ikawa kwa chinese na other travellers
 
Inasemekana waamerika wamehusika vema kwenye hiyo sakata kutona na viral story tuzipitiazo kwenye mitandao

Ndio mkuu hawa waamerika wanaweza kufanya kila kitu ni mbinu tu kama mwanzo walisema hao pilots wawili walikuwa hawajapangiwa kuruka pamoja what do you think about that mmmh ni hatari
 
Back
Top Bottom