ARV
JF-Expert Member
- Sep 6, 2011
- 5,560
- 8,002
ilitua siku nyingi siku ile ile ya kwanza ilivyotekwa kabla habari hazijasambaa. na sasa iko workshop ya ndani imeshabandikwa sticker/rangi zingine huwezi kuijua.
Kutokana na wachangiaji pamoja na mitandao mbalimbali sasa swali hili linajitokeza kwangu, je, kuna uwezekano ndege ikatua kiwanja fulani halafu taarifa ziache kusambaa ukichukulia kwamba habari hii inajulikana pande zote za Dunia kwa sasa.