Ndege ya Malaysia A/line yapoteza mawasiliano

Ndege ya Malaysia A/line yapoteza mawasiliano

samahani.. naomba kuuliza, pengine uelewa wangu mdogo, lakini nawaomba munisaidie wanajamvi wataalam..

ina maana hii ndege haikua na gps??? haionekani kwenye radar?? kwa nnavojua mimi, ndege ikiingia tu kwenye anga la nchi fulani inaonekana kwenye radar na exact position yake inajulikana.

if thats the case, what was the last position that ndege ilionekana kwenye radar??

na je, kama last position ya ndege inafahamika, have they searched kwenye deep sea ya hiyo point na ndege haipo?? kama haipo kuna possibility ya ndege kua imeenda out to space???

suala la kua ndege imeenda kutua sehem ingne ni suala ambalo haliwezekani, kwa maana radar zingeona bila shida kabisa, unless imeenda kutua na nchi husika together with the big nations with satellites and high technology zinauficha ulimwengu.

hayo ni maswali na mawazo yangu wanajamvi. nakuombeni tuendelee kusaidiana kimawazo..

Mkuu mi sijui mambo ya ndege vzr ila kwa kidogo nijuacho ni kuwa
1. Ndege ilipoteza mawasiliano usiku wa sa8 jumamosi ilopita mda kama saa1 toka ipae. Ilipotea bila kutoa sign yeyote ya tahadhari
2. Point kwa mara ya mwisho kutoa mawasiliano ndio hizo search flights na meli 70 zinasaka toka Jumapili mpk jion ya leo siku ya 4

3. Huenda ilitumbukia baharini au la ingawa specifications zake ina uwezo wa kuwa hewani non-stop 16hrs(kwa hiyo siku ilikuwa na mafuta ya kama 8hrs)

4. Malaysia a/line ni kampuni inayoaminiwa kwa usalama maeneo ya southern asia. Daily ina beba watu 35,000 kwrnye destination 80 duniani hata sasa ndege zake zinapiga mzigo kama kawa

Sent from nokia Jeneza
 
Bado kuna watu hawaamini Mungu yupo? despite sayansi, no one can bring forward a plausible reason as to where something huge as plane can just disappear in thin air...

Hakika Mungu yupo ndugu, asieamini ni mtu wa ajabu sana

Sent from nokia Jeneza
 
samahani.. naomba kuuliza, pengine uelewa wangu mdogo, lakini nawaomba munisaidie wanajamvi wataalam..

ina maana hii ndege haikua na gps??? haionekani kwenye radar?? kwa nnavojua mimi, ndege ikiingia tu kwenye anga la nchi fulani inaonekana kwenye radar na exact position yake inajulikana.

if thats the case, what was the last position that ndege ilionekana kwenye radar??

na je, kama last position ya ndege inafahamika, have they searched kwenye deep sea ya hiyo point na ndege haipo?? kama haipo kuna possibility ya ndege kua imeenda out to space???

suala la kua ndege imeenda kutua sehem ingne ni suala ambalo haliwezekani, kwa maana radar zingeona bila shida kabisa, unless imeenda kutua na nchi husika together with the big nations with satellites and high technology zinauficha ulimwengu.

hayo ni maswali na mawazo yangu wanajamvi. nakuombeni tuendelee kusaidiana kimawazo..

Technological problem iliyoikumba hii ndege ni kupoteza mawasiliano na radar zilizokuwa zinaiongoza licha ya GPS na vyombo vingine vya kutrack ilipo kwa sasa. Huu ndo mtihani wanaokabiliwa nao hao wanaanga. Kwa sababu ingekuwa imeanguka basi rada xingeisoma ilipo na hatavkama imezama mpk kwenye vilindi vya bahari basi mafuta yangekuwa yanaelea na ingepatikana. Ndege haijulikani iliko je ni ugaidi, uzembe wa rubani, au ni catastrophic event, no one knows. Mungu pekee ndiye ajuaye.

Na mimi swali langu la kizushi, hivi kweli huko china, vietinum, malaysia hakuna wataalamu wa jadi, mbona mfalme Nebukadreza aliwatumia enzi zake? Naona wanageukia tu kwa wavuvi kwamba wanaomba msaada wao, je hawataji mizimu ya baharini iwasaidie????
 
MALAYSIA AIRLINES FLIGHT MISSING, MARCH 2014

2hr ago

Editor's note: Chinese state media has reported that vessels searching for the Malaysia Airlines plane have pulled floating debris from water. It is not confirmed that the debris is related to the missing flight. - Jillian
 
Posted 3 min ago in official Malaysi A/line updates page

Wednesday, March 12, 01:00 PM MYT +0800 Malaysia Airlines MH370 Flight Incident - 14th Media Statement

Malaysia Airlines' primary focus at this point in time is to care for the families of the passengers and crew of MH370. This means providing them with timely information, travel facilities, accommodation, meals, medical and emotional support. All these costs are borne by Malaysia Airlines.

We have deployed teams of caregivers consisting of trained MAS staff and volunteers from Mercy Malaysia and Tzu Chi Foundation. These caregivers are stationed at five different locations at Beijing and four different locations in Kuala Lumpur.

As of now, we have 115 family members in Kuala Lumpur and they are taken care of by 72 different caregivers. At least one caregiver is assigned to each family together with a Mandarin translator for the families from China.

The caregivers have been keeping the families updated on the search and rescue efforts as well as provide emotional support.

Equal amount of initial financial assistance are being given out to all families of passengers and crew over and above their basic needs. This amount is extended to families of all crew and passengers in Malaysia as well those from other nations.

We regret and empathise with the families and we will do whatever we can to ease their burden. We are anxious as the families to know the status of their loved ones.

Kweli serikali ya Malaysia ina viongozi wenye akili katika kusimamia maafa na wahanga wake, hivi mataifa haya ya ukanda wa bahari ya hindi huko Africa husasani haka ka-nchi kenye kashfa za pembe za ndovu kanapaswa kuiga hospitality inayotolewa na Malaysia. Ile milipuko ya mabomu sidhani kama wananchi wale walilipwa fidia????
 
NEW DELHI - Indian Navy ships that are on patrol in the Straits of Melacca are joining in the search and rescue operations for the missing Malaysia Airlines flight MH370, news reports from India said on Wednesday.

The Indian Navy's satellite Rukmini or GSAT-7 has also been activated to pick up any clue that may lead investigators to the missing aircraft, media reports said.

The search operations for the aircraft entered its fifth day on Wednesday.
 
Technological problem iliyoikumba hii ndege ni kupoteza mawasiliano na radar zilizokuwa zinaiongoza licha ya GPS na vyombo vingine vya kutrack ilipo kwa sasa. Huu ndo mtihani wanaokabiliwa nao hao wanaanga. Kwa sababu ingekuwa imeanguka basi rada xingeisoma ilipo na hatavkama imezama mpk kwenye vilindi vya bahari basi mafuta yangekuwa yanaelea na ingepatikana. Ndege haijulikani iliko je ni ugaidi, uzembe wa rubani, au ni catastrophic event, no one knows. Mungu pekee ndiye ajuaye.

Na mimi swali langu la kizushi, hivi kweli huko china, vietinum, malaysia hakuna wataalamu wa jadi, mbona mfalme Nebukadreza aliwatumia enzi zake? Naona wanageukia tu kwa wavuvi kwamba wanaomba msaada wao, je hawataji mizimu ya baharini iwasaidie????

kweli huo ni mtihani.. dahh... na kupata majibu ni ngumu... mimi nadhani kuna kitu haya mataifa makubwa yanatuficha... wanajua ndege ilipo lakini for their own reasons hawasemi ilipo au imefanyaje.
 
Kutokana na wa Vietnum kuiambia malaysia kuwa ndege iligeuka na kuelekea Malacca na possible upo huko , wamalaysia walikataa ndo maana wavietnum wameondoa madege yaso angani mpka wamalaysia wakubali ndo waendelee huko South malecca ,,, news hii hapa

KUALA LUMPUR (AFP) - The search for a missing Malaysian jet swung northwest towards the Andaman Sea on Wednesday, far from its intended flight path, exposing Malaysia to mounting criticism that its response was in disarray.

Vietnam scaled back its efforts to locate Malaysia Airlines flight 370, carrying 239 passengers, which had focused on the South China Sea where the jet last made contact on a journey between Kuala Lumpur and Beijing.

No trace of the plane has been found since it vanished last Saturday, and contradictory and incomplete information from Malaysian authorities has infuriated relatives enduring an unbearable wait for news of their loved ones.

"We are not going to leave any chance. We have to look at every possibility," civil aviation chief Azharuddin Abdul Rahman told AFP, confirming the expansion to the Andaman Sea, which lies north of Indonesia's Sumatra island.

He did not indicate whether the decision to expand the multi-nation hunt hundreds of kilometres to the northwest of the original search radius was based on any firm indications the plane might be there.

CONFUSING AND CONTRADICTORY

Authorities had earlier expanded the zone to the Malacca Strait off Malaysia's west coast after citing radar data they said indicated a "possibility" the plane may have changed course from its intended flight path over the South China Sea.

But the shifting search areas have fuelled perceptions of official bungling.

Frustration mounted in Malaysia, with the country's active social media and some press outlets turning from sympathy for families of relatives to anger over the fruitless search.

"The mood among Malaysians now is moving from patience in the search for the 239 people aboard the missing flight MH370 to embarrassment and anger over discrepancies about passengers, offloaded baggage and concealed information about its last known position," Malaysian Insider, a leading news portal, said in a commentary.

Twitter users took aim at contradictory reports, and confusion over whether the jet had deviated from its intended course.

"If the Malaysian military did not see MH370 turn toward the Malacca Strait, then why the search? Who decided to look there and why?," one comment said.

"I think Malaysia Airlines and the Malay government is trying to cover up or hide something about flight MH370," wrote another.

The anger and embarrassment were compounded by a report aired in an Australian news programme of a past cockpit security breach involving the co-pilot on the missing jet.

Malaysia Airlines said Tuesday it was "shocked" over the report that First Officer Fariq Abdul Hamid, 27, along with a fellow pilot violated airline rules in 2011 by allowing two young South African women into their cockpit during a flight.

The report included photos of the women in the cockpit, with one appearing to show them posing with a man resembling Fariq. Passengers have been prohibited from entering cockpit during flights after the 9/11 attacks on the United States.

Analysts said pressure on Malaysian authorities could derail complicated search and rescue efforts.

"Public pressure may result in the command structure and unity of the search to crack. This is not what we want," said Mr Gerry Soejatman, an independent aviation analyst based in Jakarta.

"Once that cracks, information and ability to verify becomes a problem and reckless speculation will overwhelm common sense."

VIETNAM SUSPENDS AIR SEARCH

Vietnam, whose southern coast had been the focus of the recovery effort, said it had suspended its air search and scaled back sea operations as it waited for Malaysia to clarify the potential new direction of the multi-national hunt.

"We've decided to temporarily suspend some search and rescue activities, pending information from Malaysia," deputy minister of transport Pham Quy Tieu said.

"We've asked Malaysian authorities twice, but so far they have not replied to us," Mr Tieu said, when asked about a media report that the plane had been detected over the Strait of Malacca.

"We informed Malaysia on the day we lost contact with the flight that we noticed the flight turned back west but Malaysia did not respond," he added.

Malaysia's air force reiterated on Wednesday it had not ruled out the possibility the Boeing 777 inexplicably changed course, but denied the report it had been detected in the Malacca Strait, far from its planned flight path.

"For the time being, it would not be appropriate... to issue any official conclusions as to the aircraft's flight path until a high amount of certainty and verification is achieved," Air Force chief General Rodzali Daud said in a statement.

"However, all ongoing search operations are at the moment being conducted to cover all possible areas where the aircraft could have gone down in order to ensure no possibility is overlooked."

Authorities have so far revealed no details on radar data they said indicated a possible "turn-back".

The search zone shift is the latest twist in the mystery surrounding the plane. On Tuesday, Malaysian authorities said two men travelling on stolen passports appear to be Iranian illegal immigrants - easing fears of terrorism.

Malaysia's national police chief Khalid Abu Bakar has said his officers are not ruling anything out but were now focusing on a possible hijacking, sabotage, or psychological or personal problems among passengers or crew.

The search operation grew to involve 42 ships and 35 aircraft as of Tuesday, from South-east Asian countries, Australia, China, New Zealand and the United States.

China, which had 153 of its nationals on board the plane, said it would harness 10 satellites equipped with high-resolution imaging to help in the search.

Boeing said it was joining a US government team to try to unravel the mystery of what happened to its 777-200 plane.
 
Wale jamaa wa UFO watakua wameichukua wameenda nayo kwao.

The disappearance of the Malaysia Airlines jet is one of the aviation's great mysteries - but now YOU can help attempt solve it.
 
samahani.. naomba kuuliza, pengine uelewa wangu mdogo, lakini nawaomba munisaidie wanajamvi wataalam..

ina maana hii ndege haikua na gps??? haionekani kwenye radar?? kwa nnavojua mimi, ndege ikiingia tu kwenye anga la nchi fulani inaonekana kwenye radar na exact position yake inajulikana.

if thats the case, what was the last position that ndege ilionekana kwenye radar??

na je, kama last position ya ndege inafahamika, have they searched kwenye deep sea ya hiyo point na ndege haipo?? kama haipo kuna possibility ya ndege kua imeenda out to space???

suala la kua ndege imeenda kutua sehem ingne ni suala ambalo haliwezekani, kwa maana radar zingeona bila shida kabisa, unless imeenda kutua na nchi husika together with the big nations with satellites and high technology zinauficha ulimwengu.

hayo ni maswali na mawazo yangu wanajamvi. nakuombeni tuendelee kusaidiana kimawazo..

Wakati mwingine naamini hawa watu kuna kitu wanaficha haiwezekani waseme simu zinaita na washindwe ku track location ya hizo cellphone
 
9:09AM updates

As we wait for the press conference to start, what appeared to be a bright-coloured life raft was pulled from the sea by a group of fishermen.

Fisherman Azman Mohamad, 40, said the raft was tied to their boat, but when the Malaysian Maritime Enforcement Agency arrived it sank as they tried to bring it on board.

However, it is not known if the object was from the plane and there is the possibility that it was just a buoy.
 
Here's the scene from inside the press conference of the journalists waiting to hear an update on the missing flight.

It was taken by Channel 4 News's Asia correspondent John Spark.
 
Attachments

  • 1394615747125.jpg
    1394615747125.jpg
    41.8 KB · Views: 121
Japan said it would send four military planes to help look for the missing plane.
 
Malaysia's transport minister says: 'Until we find the aircraft and black box, we are unable to address a lot of speculation out there' -
 
'Our immediate focus is to find the aircraft,' transport minister says, 'we are focusing on both the South China Sea and Straits of Malacca' - live video
 
Back
Top Bottom