Ndege ya kijeshi ya Kirusi yaangushwa na jeshi la Uturuki, NATO yaitisha Mkutano maalum

Endeleza maneno yako ya vijiweni,Marekani ni level nyingine kwa Urusi.
Swali ni je, umefatilia niliyo sema humu na ukaona hayana ukweli wowote? - kumbuka hapa tunabadirishana mawazo na inapo bidi tunaelimishana.

Mtu mweledi mara zote ufatilia a lead ili ajifunze mengi kwa wakati wake, mimi sijui background ya kisomo chako ni cha kiwango gani - hivyo I reserve my comment.
 
One of the two Russian pilots who ejected from the jet was picked up by the Syrian army and is being taken to Russia's base there, Russia's ambassador to France said on Wednesday.
Alexandre Orlov told Europe 1 radio: "One on board was wounded when he parachuted down and killed in a savage way on the ground by the jihadists in the area.
"The other managed to escape and, according to the latest information, has been picked up by the Syrian army and should be going back to the Russian air force base."
A Russian helicopter was also shot at on Tuesday as it took part in the search for the two pilots near the Turkish-Syrian border, opposition groups in Syria said.

Source: Aljazeera

Kuna jambo bado linanitatiza
kidogo hapo..Kama ndege ilidunguliwa ikiwa ndani ya
anga la Turkey,iweje pilots waliangukia Syria? Na huyo mmoja kuuliwa?
 
Changia hoja acha kukariri na kutukana unaelewa kwa nini wanakataa ushambuliaji wa mrusi tafakari kwanza na toa hoja za msingi bila jazba

Kwa iyo mashambulizi ya urusi dhidi ya anaowaita magaidi,unahusika vip na ndege zake kuvuka mipaka ya uturuki..Na uturuki kama chi huru na yenye haki ya kujilinda na kulinda raia wake,unategemea wafanye nni?...Embu fikiria kama hiyo ndege ingekuwa ni ya uturukia alafu imevuka anga ya urusi...
Vitu vingine haviitaji ushabiki kabisa..
Hata mrusi anajua kabisa amefanya kosa,kauli anazotoa ni za kujifariji tuu lakin kiukweli anajua kwamba alifanya kosa
 
Kuna jambo bado linanitatiza
kidogo hapo..Kama ndege ilidunguliwa ikiwa ndani ya
anga la Turkey,iweje pilots waliangukia Syria? Na huyo mmoja kuuliwa?
Kwa mujibu wa Russia wanasema SU-24 haikuingia ktk anga ya turkey. Na ndio maana marubani na SU-24 wameangukia syria, 4km from turkey boarder.
 
Kuna jambo bado linanitatiza
kidogo hapo..Kama ndege ilidunguliwa ikiwa ndani ya
anga la Turkey,iweje pilots waliangukia Syria? Na huyo mmoja kuuliwa?

Kiongozi, hiyo bomber imedunguliwa ikiwa Syria inavyoonekana. Hilo eneo lina FSA~ Free Syrian Army na Turkmen ikiwa na pacha wake wakifanya sorties.

Huo ugomvi hapo hauishi kwasababu Ulaya na Marekani zinasmaggle Mafuta kwa kupitia Uturuki.

Assad anafanya biashara na China, Russia, Iran, North Korea na baadhi ya nchi za South America.

Nato inalenga kudistabilize na wanatumia hao moderate rebels kusecure routes. Na kimsingi ni kuwa NATO inafanya biashara na ISIL kwa mlango wa nyuma.

Sasa juzi Russia amepiga tanker zaidi ya 1000 za mafuta na amelenga kabisa kusuffocate mirija ya kipato ya ISIL.

NATO wanaongea na Russia kwa lugha ya kikubwa kwamba bwana hebu nenda taratibu na haya mambo na wewe uridhike na Unachopata.

So Uturuki amesetiwa strategically kwasababu ni mdau mkubwa kwenye uchumi wa Urusi hivyo hata Urusi ikilipiza basi hasira haitafika kwenye mifupa, itaishia kwenye nyama.
 
Hiyo ni sawa;mturuki kasetiwa na wamagharibi,na hawa wazungu kama russia akiamua kuipiga uturuki wanaweza wenzake kumwacha,sidhani kama mzungu atarisk vita ya dunia akimtetea muslim,ila wanajua kuwa russia anaweza asireact kwani uturuki ni muhimu sana kwa russia strategically
 
Attachments

  • F17.jpeg
    F17.jpeg
    3.7 KB · Views: 423
Unachosema ni sawa lakini Hata member states anonymously wa NATO wanakiri kuwa Turkey alikurupuka. Kulikuwa na means nyingi zaidi ya kuipiga ndege ya mrusi

Inaonekana hajaisikia hata kauli ya waziri wa mambo ya njwa wa Uingereza huyo. Hili tukio la Uturuki linaondoshea mbali Proud ya NATO. Hakuna jinsi tena, maana ni lazima Uturuki achapwe na hakuna nchi itakayoingilia.
 
Naona unapayuka tuu hapa,nenda katafute na usome Collective Defence-Article 5 ya NATO then urudi hapa.
 
Yaliyotokea ni kama kusema Uturuki imepiga teke meza ambayo Russia, NATO na EU walikuwa wakichezea karata.

Ni busara na uvumilivu wa kung'ata kucha ulio wafikisha hawa mabwana hapa. Wamevuka vita baridi kwa uangalifu mkubwa, wakapitia matukio kama Crimea na Utekaji wa majimbo zaidi ya Ukraine kwa staha kubwa.

Sasa rafiki yao mdogo kabisa mwenye ndoto ya kuurudisha ufalme wa Ottoman ameharibu mambo.
Tena ameharibu wakati mmbaya kweli, wakati ambapo Urusi na Ufaransa kwa pamoja wanaugulia maumivu ya ugaidi.
Wiki ambayo Urusi imekubaliana na Marekani na Ufaransa kushirikiana kwenye vita dhidi ya ugaidi.

Bahati ilokuja kwenye meza kwa NATO, bahati ya kumtongoza Urusi taratibu ili abadili kidogo sera yake pale Siria.

Kitendo cha Uturuki kitafanya NATO ifikirie kitu.Itafikiria, Lol.. tuko na mgeni mwenye petrol kwenye kazi ya kuzima moto.... alafu mgeni mwenyewe hatabiriki....

Urusi imeletewa kwenye sahani ya dhahabu fursa ya kuigonganisha NATO. Tayari Germany na Cechz wameanza kuhoji ulazima wa maamuzi ya Uturuki.

Yani hapa Putin asitumie nguvu nyingi kama Magufuli, hapa Diplomasia inaweza kumsaidia zaidi kwenye malengo yake.
Na hata kama ni kisasi basi iwe very covert operation na sio lazima iwe leo.

Zaidi zaidi Urusi amepata justification ya kusogeza silaha za nguvu mpakani mwa Uturuki. Hapa aweke ngome ya nguvu, najua tu inatosha kumtoa jasho mturuki.
 
Kwenye silaha hapo ndo kuna point, Urusi kwa sasa atapekea S-400 kule Syria na S-400 kama tujuavyo haina mshindani na alisha ombwa sana asipeleke S-300 sasa anaweza amua kupeleka S-400 makusudi na hapo itakuwa ndo mwisho wa NATO na wakina Uturuki kurusha ndege zao kwenye anga ya Syria
 
Naona unapayuka tuu hapa,nenda katafute na usome Collective Defence-Article 5 ya NATO then urudi hapa.

Article zitabaki vitabuni...hata haki za binaadam zina articles zake lakini huko Syria watu wanauawa kama panya na articles haziwapiganii.
 
Hahahha kama vile namwona Netanyahu alivyokaaa na mvinyo wake akifurahia ugomvi wa Russia vs Turkey maana Israel na Turkey hawana mahusiano mazuri tangia Israel avamie meli ya Turkey na kuwaua baadhi ya walikuwamo.

Kwenye hii beef ya sasa hivi Israel anatamani Erdogan apewe kichapo na bila shaka atakuwa tayari kutoa msaada unaohitajika.

Ngoja niongeze kahawa niangalie hii game itafika wapi
 
Kwa iyo mashambulizi ya urusi dhidi ya anaowaita magaidi,unahusika vip na ndege zake kuvuka mipaka ya uturuki..Na uturuki kama chi huru na yenye haki ya kujilinda na kulinda raia wake,unategemea wafanye nni?...Embu fikiria kama hiyo ndege ingekuwa ni ya uturukia alafu imevuka anga ya urusi...
Vitu vingine haviitaji ushabiki kabisa..
Hata mrusi anajua kabisa amefanya kosa,kauli anazotoa ni za kujifariji tuu lakin kiukweli anajua kwamba alifanya kosa

Tusubiri tutayasikia maana mrusi bomber zote zitasindikizwa na fighters huku tension ikizidi na tusubiri pia tamko la NATO secretary general anaongea nini. Ntarudi
 
Hahahha kama vile namwona Netanyahu alivyokaaa na mvinyo wake akifurahia ugomvi wa Russia vs Turkey maana Israel na Turkey hawana mahusiano mazuri tangia Israel avamie meli ya Turkey na kuwaua baadhi ya walikuwamo.

Kwenye hii beef ya sasa hivi Israel anatamani Erdogan apewe kichapo na bila shaka atakuwa tayari kutoa msaada unaohitajika.

Ngoja niongeze kahawa niangalie hii game itafika wapi

Hilo si kweli,Israel na Uturuki wana uhusiano mzuri tena wa project za kijeshi nyingi sana. Ile issue ya meli iliharibu uhusiano wao kwa kiasi kidogo sana sawa na issue ya Israel na U.S kuhusu mkataba wa Nuclear na Iran.
 
Kuna jambo bado linanitatiza
kidogo hapo..Kama ndege ilidunguliwa ikiwa ndani ya
anga la Turkey,iweje pilots waliangukia Syria? Na huyo mmoja kuuliwa?

TURKEY walidhani watafuta ushahidi...!
================

from:https://www.rt.com/news/323431-saved-pilot-turkish-su24/

The navigator of the Russian Su-24 shot down by a Turkish fighter jet on Tuesday insists that his plane did not cross into Turkey?s airspace, and says he was given no visual or radio warning before being fired at.

?It?s impossible that we violated their airspace even for a second,? Konstantin Murakhtin told Russia?s Rossiya 1 channel. ?We were flying at an altitude of 6,000 meters in completely clear weather, and I had total control of our flight path throughout.?
As well as denying Ankara?s assertions that the plane was in Turkey?s airspace, Murakhtin also refuted Turkish officials? claim that the pilots were warned repeatedly.

?In actual fact there were no warnings at all. Neither through the radio, nor visually, so we did not at any point adjust our course. You need to understand the difference in speed between a tactical bomber like Su-24, and that of the F16. If they wanted to warn us, they could have sat on our wing,? said Murakhtin, who is currently recuperating at Russia?s airbase in Latakia, in northern Syria.
?As it was the missile hit the back of our plane out of nowhere. We didn?t even have time to make an evasive maneuver.?
 
Nmeskia somwhere kuwa waziri wa mambo ya nje wa rusia amesema hawawezi kuingia vitani na uturuki ingawa wanajua kuwa kulipuliwa kwa ndege yao ni mpango ulopangika
 
Nmeskia somwhere kuwa waziri wa mambo ya nje wa rusia amesema hawawezi kuingia vitani na uturuki ingawa wanajua kuwa kulipuliwa kwa ndege yao ni mpango ulopangika

Yap!
Hawawezi, Uturuki ni mdau mkubwa sana wa Russia kiuchumi na ndio maana wanalalamika kama hili suala lilipangwa.

Kupigana na Uturuki kwanza tu haileti maana Kwa Russia.
Uturuki ni bwana mdogo sana na kidiplomasia kuna mengi yanaweza kufanya kuiumiza.

Russia atalipiza kisasi ila sio Vita kamili.
 
Nmeskia somwhere kuwa waziri wa mambo ya nje wa rusia amesema hawawezi kuingia vitani na uturuki ingawa wanajua kuwa kulipuliwa kwa ndege yao ni mpango ulopangika

Naam, ni kwa sababu wanaujua mziki wake utakuwa mnene.

Kwa hiyo wanaogopa. Maana Uturuki ni mjumbe wa NATO na NATO ni USA.

Urusi hawezi kuthubutu kulianzisha na USA. Atachapwa mpaka arudi kwenye zama za mawe.

Na hili liwe somo kwa Urusi. Kazidi mno chokochoko za kuingia anga za wengine.

Mara kibao keshaonywa kuhusu kuingia kwenye anga za Marekani, Uingereza, na hata Uturuki lakini hasikii.

Sasa ndo ataisoma namba na atashika adabu.

Kidege chao kimetunguliwa na hakuna ambalo Putin analoweza kufanya.

Kaufyata mkia.

USA baby:usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2:
 
Hiyo ni sawa;mturuki kasetiwa na wamagharibi,na hawa wazungu kama russia akiamua kuipiga uturuki wanaweza wenzake kumwacha,sidhani kama mzungu atarisk vita ya dunia akimtetea muslim,ila wanajua kuwa russia anaweza asireact kwani uturuki ni muhimu sana kwa russia strategically
Hakuna anayependa vita ya dunia mkuu..sio russia wala Nato...so sitegemei russia ku risk vita na turkey..kwanza atapita wapi wakat turkey kumejaa missile shielda za Nato...Usitegemee turkey kuachwa yenywe endapo russia ataamua vita...kma ndo ivo bas muungano wa Nato ni lazima uvunjike coz kumlinda allie ni moja ya malengo ya nato,kma watamwacha bas hakuna maana ya kuitwa Nato,so tutegemee mwisho wa nato.And will never happen,
 
Back
Top Bottom