Wengine hapa huwa hatuandiki kejeli au kwa dhana. Hupenda kuandika kwa reference. Nimekueleza wazi udhaifu wa Jeshi la Tanzania. Rejea wikipedia utaliona hilo na pitia references mbalimbali zilizotajwa. Pia unaweza kuangalia hapa
EAST AFRICA: An Idi-otic Invasion - TIME utashangaa namna Watanzania walivyozitungua ndege zao wenyewe. Tanzania ilishinda vita vile, lakini madhara yake kutokana na jeshi dhaifu hayajaisha hadi leo hii. Kutaja platoon hakujustify umaridadi wa jeshi. Labda ungeweka facts ingependeza zaidi.