Ndege ya Emirates yaweka record kukaa hewani masaa 17

Ndege ya Emirates yaweka record kukaa hewani masaa 17

Ngaliba Dume

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2010
Posts
1,710
Reaction score
3,685
image.jpeg
image.jpeg
image.jpeg

Ndege ya shirika la Emirates imekamilsha safari ya moja kwa moja ndefu zaidi duniani kutoka Dubai hadi New Zealand.

Ndege hiyo aina ya Airbus 380, ambayo ndiyo kubwa zaidi ya abiria duniani imesafiri angani kwa kilomita 14,200 bila kusimama, safari iliyochukua masaa 17 na dakika 15.
 
Mkuu hiyo safari ilikua lini? Maelezo yako hayaonyeshi japo tarehe au mwaka wa hiyo Safari au mimi macho yangu ni makengeza?
 
Tatizo hizi safari zinaumiza sana lakini pia kwa sasa hapa Bongo hizo safari tutazisoma tu kwa mbaliiiii kwasababu Uncle Magu hataruhusu hayo mambo
 
View attachment 327861 View attachment 327862 View attachment 327863

Ndege ya shirika la Emirates imekamilsha safari ya moja kwa moja ndefu zaidi duniani kutoka Dubai hadi New Zealand.

Ndege hiyo aina ya Airbus 380, ambayo ndiyo kubwa zaidi ya abiria duniani imesafiri angani kwa kilomita 14,200 bila kusimama, safari iliyochukua masaa 17 na dakika 15.
Mkuu hiyo ndege sidhani kuwa ni Airbus 380,nijuavyo mimi ilikua ni Boeing 777-200 LR flight number EK 449 na ilifanya hiyo safari tarehe 2-3-2016 imesafiri kilometer 14,203 non stop.
 
image.png
Mkuu hiyo ndege sidhani kuwa ni Airbus 380,nijuavyo mimi ilikua ni Boeing 777-200 LR flight number EK 449 na ilifanya hiyo safari tarehe 2-3-2016 imesafiri kilometer 14,203 non stop.
Mkuu CleverKING rudia tena kupata habari...au lugha kidogo ipo kushoto?Ndege iliyozundua safari ni A380 lakini itakayokuwa inafanya safari za huko baada ya uzinduzi itakuwa B777-200
 
Airbus A380-800 hiyo kitu siyo mchezo kitu ghorofa kinapaa angani wakifanya ndege nzima iwe economy class pekee dege linakula vichwa 853 !
 
Back
Top Bottom