Ndege ya asili ya kiafrika

nadhani imepigwa mzinga, ilipita anga lisiloruhusiwa
 
Naona tank la mafuta pembeni(kichupa)....nasikia ni mchanganyiko wa vitovu vya watoto wasiopungua saba, dah hawa watu hawa!! Hawamuogopi Muumba kabisa!!
 
Naona tank la mafuta pembeni(kichupa)....nasikia ni mchanganyiko wa vitovu vya watoto wasiopungua saba, dah hawa watu hawa!! Hawamuogopi Muumba kabisa!!
Mkuu utatakiwa kuisadia Polisi.. Lol!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…