Ndege ya 540 hiyo Kigoma!

Ndege ya 540 hiyo Kigoma!

Kibirizi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2011
Posts
604
Reaction score
149
Leo katika matembezi yangu nikakutana na gari linalotangaza kwamba hivi karibuni (ndani ya wiki moja) ndege ya 540 inatarajia kuanza safari za Kigoma - Mwanza - Dar es Salaam <---
 
Safi sana, huo ushindani baina ya makampuni ya ndege ndio tunaupenda.
 
Mi ntaendelea kupanda ADVENTURE BUS! Dar-Kigoma!
 
ATCL nayo yaja kwa kasi yakiwa makampuni 3 itakuwa poa sana
 
Asavali.. Kuna ile ilikuwa inatrip za tabora,after ajal,ikafa..nway,wamiliki ni wanani
 
Back
Top Bottom