Ndege vita ipi bora katika uwanja wa vita??

Ndege vita ipi bora katika uwanja wa vita??

KakaKiiza

Platinum Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,952
Reaction score
9,469
Katika ndege vita zipo nyingi kutokana na matakwa ya watengenezaji ila kati ya hizi ipi ina sifa ya kupambana kivita?
IMG_20180722_002757.jpg
IMG_20180722_002541.jpg
IMG_20180722_002311.jpg
IMG_20180722_002056.jpg
IMG_20180722_001749.jpg
IMG_20180722_001555.jpg
IMG_20180722_003210.jpg
IMG_20180722_001128.jpg



========Update========
Top 10 Incredibly Advanced Fighter Jets in 2017 | Aviation Blog
ukipitia hapa kuna top10
 

Attachments

  • IMG_20180722_061253.png
    IMG_20180722_061253.png
    127.9 KB · Views: 49
  • IMG_20180722_061452.png
    IMG_20180722_061452.png
    65.5 KB · Views: 45
  • IMG_20180722_061726.png
    IMG_20180722_061726.png
    112.6 KB · Views: 40
  • IMG_20180722_062019.png
    IMG_20180722_062019.png
    157 KB · Views: 45
  • IMG_20180722_062404.png
    IMG_20180722_062404.png
    87 KB · Views: 40
  • IMG_20180722_063155.png
    IMG_20180722_063155.png
    160.2 KB · Views: 45
  • IMG_20180722_063322.png
    IMG_20180722_063322.png
    160.5 KB · Views: 39
  • IMG_20180722_063939.png
    IMG_20180722_063939.png
    99.8 KB · Views: 42
  • IMG_20180722_064230.png
    IMG_20180722_064230.png
    179.6 KB · Views: 41
  • IMG_20180722_064513.png
    IMG_20180722_064513.png
    113.5 KB · Views: 42
  • IMG_20180722_064840.png
    IMG_20180722_064840.png
    104.6 KB · Views: 44
  • IMG_20180722_065204.png
    IMG_20180722_065204.png
    161.2 KB · Views: 43
zngne hazijawahi kuwa kwe combat, hyo SU-57 project imekufa kabla ht ya mass production ni ngumu kujua ubora, ila hayo ma F-16 yako vizuri pia kuna SU-35 nayo ni habari nyngne iongezee hapo
 
SU 57 kama mpango ungetiki nadhani ndio ingekuwa ndege pinzani kwa F22 maana kwa manuever yake ni next level
 
SU 57 kama mpango ungetiki nadhani ndio ingekuwa ndege pinzani kwa F22 maana kwa manuever yake ni next level
maneuver yana maana sana kwe close dog fight ila kwa fifth generation km F-22 maneuver yanaweza kuwa useless maana yenyew inapambana ikiwa far away from you
 
Katika ndege vita zipo nyingi kutokana na matakwa ya watengenezaji ila kati ya hizi ipi ina sifa ya kupambana kivita?View attachment 815338View attachment 815339View attachment 815340View attachment 815342View attachment 815343View attachment 815344View attachment 815345View attachment 815351


========Update========
Ndege vita zoooote chanzo chake kwa ubora wametolea Mig 21 ambazo tunazo sisi leo na hayo matokeo ya madege mengine wametolea kwa mig 21 na mmarekani kutoa f7 kwahiyo miongo yote mig 21 itabaki kuwa baba wa vizazi kwa ndege vita ni sawa na leo uzungumzie dustun,peugeot kwa upande wa gari zimebaki ktk heshima yake ktk ulimwengu wa mapinduzi ya magari.
 
Rais Wetu Atanunua Hizo Kwa Cash Kuleta Heshma Kwenye Mbinu Za Medani
 
Mig ***** nishida huwa unsimama dede inaenda kama cobra kweli Mig shughuli nyingine.
 
Ndege vita zoooote chanzo chake kwa ubora wametolea Mig 21 ambazo tunazo sisi leo na hayo matokeo ya madege mengine wametolea kwa mig 21 na mmarekani kutoa f7 kwahiyo miongo yote mig 21 itabaki kuwa baba wa vizazi kwa ndege vita ni sawa na leo uzungumzie dustun,peugeot kwa upande wa gari zimebaki ktk heshima yake ktk ulimwengu wa mapinduzi ya magari.
Pole sana kaka. Kila ndege vita inatengezwa kwa ajili ya kazi maalumu. Usije danganya watu eti zimetolewa kutoka Mig- 21.
Uzuri america wana brand yao.. hiwez niambia kitu kama sr-71 blackbird, nighthawk F-117 , F-15SE zimetokana na Mig -21.

F-17,su-22, mig-23. Hizi ndio zilitokana na mig -21 fishbed ambapo walifanyia addition ya vifaa na uwezo ndio zikazaliwa zingine.
 
Back
Top Bottom