Ndege Teule zilivyoegeshwa kwa umahiri

Ndege Teule zilivyoegeshwa kwa umahiri

Mungu mwenyewe alinena chochote anacho na anamiliki myahudi ni teule na takatifu. Na akaenda mbali zaidi na kusema ukimlaani utalaaniwa naam ukimbariki utabarikiwa.

God bless, defend and protect Israel.

gallow bird


Wayahudi walichakachuwa Biblia:


Kama nilivyotaja hapo juu, hebu tuangalie kile ambacho MUNGU Mwenyezi Alisema kwa Wayahudi katika Biblia:


“Mnawezaje kusema, ‘Sisi [Wayahudi] tuna hekima, kwa maana tuna sheria ya BWANA,’ ilhali kweli kalamu ya waandishi wa uongo imeiandika vibaya?” (Kutoka Biblia ya NIV, Yeremia 8:8)

Toleo la Revised Standard Version linaweka wazi zaidi:


“Mnawezaje kusema, ‘Sisi tuna hekima, na sheria ya BWANA ipo pamoja nasi’? Lakini, tazama, kalamu ya uongo ya waandishi imeigeuza kuwa uongo.” (Kutoka Biblia ya RSV, Yeremia 8:8)

Katika tafsiri zote mbili, tunaona wazi kuwa Wayahudi waliharibu Biblia kwa kiasi kikubwa kupitia sheria zao za kibinadamu na mafundisho ya kutunga, kiasi cha kuigeuza Biblia kuwa uongo!

Tazama pia Kumbukumbu la Torati 31:25-29, ambapo Musa (amani iwe juu yake) alitabiri upotoshaji/kuharibiwa kwa Sheria (Biblia) baada ya kifo chake.

Kitabu cha Musa kilitabiri kwamba Sheria (Biblia) ingepotoshwa.

Kitabu cha Yeremia, ambacho kiliandikwa takriban miaka 826 baadaye, kilithibitisha kweli upotoshaji huo.
 
Hebu angalieni hapo Chini kwenye picha ndege teule zilivyojipanga, zilivyoegeshwa kwa ustad wa hali ya juu.

Ni ndege teule takatifu kutoka shirika teule takatifu Eli Al la nchi Teule takatifu ya ISRAEL.

View attachment 3439235

ISRAEL THE LAND JEWS THE PEOPLE.

GOD BLESS, DEFEND AND PROTECT ISRAEL.

adriz Ritz gTurn 100 others @chaliifransisco Webabu Adiosamigo Chaliifrancisco Sir John Roberts
Hivi makao makuu ya mashoga si ni pale Tel Aviv?!


Israel sio taifa teule Tena 😁 😁 😁
 

Attachments

  • 1754766958322.jpg
    1754766958322.jpg
    164.2 KB · Views: 5
Back
Top Bottom