Ndege Teule zilivyoegeshwa kwa umahiri

Ndege Teule zilivyoegeshwa kwa umahiri

Busu la Kenge

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2025
Posts
2,308
Reaction score
4,207
Hebu angalieni hapo Chini kwenye picha ndege teule zilivyojipanga, zilivyoegeshwa kwa ustad wa hali ya juu.

Ni ndege teule takatifu kutoka shirika teule takatifu Eli Al la nchi Teule takatifu ya ISRAEL.

Screenshot_2025-08-12-17-10-29-06_965bbf4d18d205f782c6b8409c5773a4~2.jpg

ISRAEL THE LAND JEWS THE PEOPLE.

GOD BLESS, DEFEND AND PROTECT ISRAEL.

adriz Ritz gTurn 100 others @chaliifransisco Webabu Adiosamigo Chaliifrancisco Sir John Roberts
 
Hebu angalieni hapo Chini kwenye picha ndege teule zilivyojipanga, zilivyoegeshwa kwa ustad wa hali ya juu.

Ni ndege teule takatifu kutoka shirika teule takatifu Eli Al la nchi Teule takatifu ya ISRAEL.

View attachment 3439235

ISRAEL THE LAND JEWS THE PEOPLE.

GOD BLESS, DEFEND AND PROTECT ISRAEL.

adriz Ritz gTurn 100 others @chaliifransisco Webabu Adiosamigo Chaliifrancisco Sir John Roberts
Jamii wanatumia nguvu kubwa sana kulitambulisha hilo taifa mpka hongo wanatoa
 
Sio teule takatifu nani kasema hizo za Israel ni teule na takatifu?
Mungu mwenyewe alinena chochote anacho na anamiliki myahudi ni teule na takatifu. Na akaenda mbali zaidi na kusema ukimlaani utalaaniwa naam ukimbariki utabarikiwa.

God bless, defend and protect Israel.

gallow bird
 
Yaani nyie akili zenu hata kinyesi cha myahudi mtakula mkiambiwa ni kitakatifu.. inasikitisha sana...
 
Busu la Kenge unashangaa ndege na upo zako Ulaya nina mashaka Trump aliichoma ngoma yako unaweza kuwa upo zako Kilwa Kivinje unakunywa visungura ndugu yangu ngoja nikuungie uje Hong Kong nina safari miezi minne ijayo huko ushangae uwanja wao upo baharini na una ndege za kutosha..
 
Hahaha 🤣😂
 
Mungu mwenyewe alinena chochote anacho na anamiliki myahudi ni teule na takatifu. Na akaenda mbali zaidi na kusema ukimlaani utalaaniwa naam ukimbariki utabarikiwa.

God bless, defend and protect Israel.

gallow bird
Unazungumzia vipi hawa Wateule hawampendi Yesu wanamuona mzushi na kutokana na Bible hao ndio walimtundika Msalabani na kumpiga misumari bila huruma ?
 
Yaani nyie akili zenu hata kinyesi cha myahudi mtakula mkiambiwa ni kitakatifu.. inasikitisha sana...
Nina mashaka na uchawa wa a pathetic Scumbabag Busu la Kenge nadhani sio kula kinyesi Cha Myahudi tu hata kutoa chake kwa ajili ya Myahudi anaweza kwani anaamini kinyesi chake kitakuwa Kinyesi teule .

Poor Mongo Maarasmbuss!!
 
Mungu mwenyewe alinena chochote anacho na anamiliki myahudi ni teule na takatifu. Na akaenda mbali zaidi na kusema ukimlaani utalaaniwa naam ukimbariki utabarikiwa.

God bless, defend and protect Israel.

gallow bird
Usimpakazie Mungu , una hakika alisema wapi au wanajimwambafai wenyewe tu? na wajinga kama nyinyi ndio mnaona ni kweli ??
 
Hebu angalieni hapo Chini kwenye picha ndege teule zilivyojipanga, zilivyoegeshwa kwa ustad wa hali ya juu.

Ni ndege teule takatifu kutoka shirika teule takatifu Eli Al la nchi Teule takatifu ya ISRAEL.

View attachment 3439235

ISRAEL THE LAND JEWS THE PEOPLE.

GOD BLESS, DEFEND AND PROTECT ISRAEL.

adriz Ritz gTurn 100 others @chaliifransisco Webabu Adiosamigo Chaliifrancisco Sir John Roberts

Mwenzenu kapata ......... la kiyahudi , kila kitu ni kitakatifu
 
Hebu angalieni hapo Chini kwenye picha ndege teule zilivyojipanga, zilivyoegeshwa kwa ustad wa hali ya juu.

Ni ndege teule takatifu kutoka shirika teule takatifu Eli Al la nchi Teule takatifu ya ISRAEL.

View attachment 3439235

ISRAEL THE LAND JEWS THE PEOPLE.

GOD BLESS, DEFEND AND PROTECT ISRAEL.

adriz Ritz gTurn 100 others @chaliifransisco Webabu Adiosamigo Chaliifrancisco Sir John Roberts

Ule ujanja wa Kiyahudi unaodai kwamba Wayahudi walipokea idadi kubwa zaidi ya Manabii, jambo linalowafanya kuwa “Watu Wateule” wa Mwenyezi MUNGU, si chochote bali ni udanganyifu.

Kwa kweli, ilikuwa ni jambo baya kwa Wayahudi kwamba Mwenyezi MUNGU aliendelea kuwatumia Manabii, ambao wengi wao waliishia kuuawa na Wayahudi wenyewe, kulingana na kauli ya Yesu (amani iwe juu yake) hapa chini.

Tunapaswa kufahamu kwamba si Musa, wala Yesu, wala Manabii wengi katika Biblia hawakuwapenda Wayahudi!

Hebu tuangalie yafuatayo:

Kutoka kwa Musa:

"Ikawa, Musa alipomaliza kuandika maneno ya sheria hii katika kitabu, hata yalipokwisha, Musa akawaamuru Walawi (Wayahudi), waliolichukua Sanduku la Agano la BWANA, akisema, Twaeni kitabu hiki cha sheria, mkiweke kando ya Sanduku la Agano la BWANA Mungu wenu, ili kiwepo humo kama shahidi juu yenu. Kwa kuwa najua ukaidi wenu na shingo zenu ngumu; tazama, hata mimi nikiwa hai nanyi leo hii, mmekuwa waasi dhidi ya BWANA; sembuse baada ya kufa kwangu? Nikusanyieni wazee wote wa kabila zenu, na maafisa wenu, nipate kusema maneno haya masikioni mwao, na kuushuhudia mbingu na nchi juu yao. Kwa kuwa najua ya kuwa baada ya kufa kwangu mtajiharibu kabisa, na kuiacha njia niliyowaamuru; na maovu yatakupateni siku za mwisho; kwa sababu mtatenda maovu machoni pa BWANA, kumchokoza kwa kazi ya mikono yenu." (Kumbukumbu la Torati 31:25-29)

Kutoka kwa Yeremia:

"Mnawezaje kusema, ‘Sisi [Wayahudi] tuna hekima, na sheria ya BWANA ipo pamoja nasi’? Lakini, tazama, kalamu ya uongo ya waandishi imeifanya kuwa uwongo." (Biblia ya RSV, Yeremia 8:8)

Kutoka kwa Yesu:

"Ee Yerusalemu, Yerusalemu, wewe uuae manabii na kuwapiga kwa mawe wale waliotumwa kwako, ni mara ngapi nilitaka kuwakusanya watoto wako pamoja, kama vile kuku akusanyavyo vifaranga vyake chini ya mbawa zake, wala hamkutaka." (Biblia ya NIV, Mathayo 23:37)
 
Back
Top Bottom