Ndege ndogo ya kukodi

Ndege ndogo ya kukodi

kyutta

Member
Joined
Jun 11, 2016
Posts
34
Reaction score
25
Tafadhali jamani Nina Mgonjwa hapa hospital ya My.Gaspary Itigi - singida amepewa Referral kwenda muhimbili naomba kuunganishwa sasa hivi na anayehusika na Ndege za kukodi.
 
Ninahitaji huduma kama hii. Nina mgonjwa Yuko bugando
 
Back
Top Bottom