MduduWashawasha
JF-Expert Member
- Mar 5, 2008
- 1,653
- 605
Maneno mengi yamesemwa kuhusiana na ununuzi na ujio wa ndege mpya toka Canada.Umepita muda sasa toka zifike na tayari zimefanyiwa usajili.Nachojiuliza zinaanza kuruka lini ? au hazijalipiwa bima ? manake ni hasara ndege kukaa tu siku nzima bila kufanya kazi yoyote.