mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,420
- 17,722
Inaurefu wa futi 238...
Hapo sio ndege mbili bali ni moja ambayo imebuniwa ili hapo kukidhi viwango vya kupeleka vifaa huko anga za juu
Inatarajiwa kuanza safari 2019
Hii design sio kwa ajili ya kubeba abiria kama Bombadia bali ni kwa ajili ya kusafirisha Vifaa kwenye anga za juu au Orbit ya dunia.