Ndege Iliyopotea ndio hii?

Mkuu hii haijakaa vizuri.Watu wamepoteza maisha we unaleta utani
 
What was your original heading?
 
Au usikute hiyo ndege imepitiliza paradiso...na wachina wanajaribu kuinstall mawasiliano paradiso ndo maana cm zinaita.....paradiso kukiwa na mawasiliano tutawacall waliotutangulia...
 
"Ndege Iliyopotea Yapatikana"
Ayayaya!!!, mkuu ulikuwa umeharibu.
Hiyo heading ingeweza kusababisha "maafa".
Hii inayouliza tu imezua mshtuko sembuse hiyo, kwa hiyo mods wamefanya vizuri ili kulinda hadhi ya forum, hata kama ni jukwaa la jokes ulitumia lugha kali, ila hata hivyo kama ulivyosema walitakiwa kukuarifu kama utaridhia kubadilisha heading, otherwise wangeiondoa kama waliona imeenda kinyume na rules.
 
Ahhaahahahahha nimecheka hadi nahisi kuumwa tumbo lol.....

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

we unacheka ndugu kwenye mambo makubwa kama haya? mimi sikutegemea kama nlichokikuta kingekua utani..
Farkhina mtoto hajambo?
 
mkuu ndio hii ndo ndege iliyopotea, mara ya mwisho ilikuwa inachezewa milembe dodoma ila kuna kichaa mstaafu aliondoka nayo...ukiishusha uipeleke kule milembe dodoma maana inatafutwa!

Nitafanya hivyo mkuu, lakini ishu ni kuitoa hapo ilipo sijui tuitungue na manati?
 
Mkuu sikutaja shirika la ndege....

 
Mkuu nimetumia uandishi unaohitaji fikra ya kina...ndio maana sijataja jina la shirika la ndege hivyo bado sio uzushi

Watu8 hata kama hujataja jina la shirika la ndege,lakini kumbuka pia kuwa issue ya ile ndege kupotea iko hot.Ukweli hata mie nimefungua haraka haraka kutaka kuona.

Anyway,nashukuru kwa kuturusha roho,lakini kumbuka leo siyo tarehe 01/04
 
Watu8 hata kama hujataja jina la shirika la ndege,lakini kumbuka pia kuwa issue ya ile ndege kupotea iko hot.Ukweli hata mie nimefungua haraka haraka kutaka kuona.

Anyway,nashukuru kwa kuturusha roho,lakini kumbuka leo siyo tarehe 01/04

Pole mkuu kwa roho yako kurushwa na habari hii...
 
msimlaumu watu 8 jamani!yawezekana alipita angani akaona ndege pale eneo la picha ya ndege ndege haitembei !sasa yeye angejuaje kama ni ndege ya mbao?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…