Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 23,961
- 29,336
Hongera sana, sana, sana, wewe haustahili kuwa na sisi humu JF, yaani unakwenda kwa ndege kupumzika Cape Town kwa siku tatu! JF kweli kuna matajiri japo mengine hayajui jinsi ya kupata tikiti ya ndege yanadhani zinauzwa Mbezi kwa Magufuli.Wakuu nataka nikapumzike Cape Town kama siku 3 hivi. Ndege gani nitapata ticket cheap? Nimechek Rwandair, Ethiopian na Kenya Airways Direct flight to CPT ni maumivu matupu.
Eg. KQ (Dar-CPT-Dar) 889 USD,
Dep: 11/05
Ret: 14/05
tafuta swala precision 😂😂😂Wakuu nataka nikapumzike Cape Town kama siku 3 hivi. Ndege gani nitapata ticket cheap? Nimechek Rwandair, Ethiopian na Kenya Airways Direct flight to CPT ni maumivu matupu.
Eg. KQ (Dar-CPT-Dar) 889 USD,
Dep: 11/05
Ret: 14/05
Usiulize sana ila kule miguu ya kuku njenje tena chee.Unakwenda cape Town kufanya shughuli gani!?
Si uende hapo Katavi ukalime nyanya na bamia
udable your price.
Alisikika mlevi mmoja wa Makurunge
anataka akaone watoto wa Kizulu na xhosa! Pia kuona wale totozi Coloured!Unaenda kupumzika au kuchoka?
Unaenda kupumzika halafu tiketi ya dola 800 inakushinda? We utakuwa mzamiaji.Wakuu nataka nikapumzike Cape Town kama siku 3 hivi. Ndege gani nitapata ticket cheap? Nimechek Rwandair, Ethiopian na Kenya Airways Direct flight to CPT ni maumivu matupu.
Eg. KQ (Dar-CPT-Dar) 889 USD,
Dep: 11/05
Ret: 14/05
Mkuu we unapumzika Kwa Bei gan?Unaenda kupumzika halafu tiketi ya dola 800 inakushinda? We utakuwa mzamiaji.
Umeshafika? Karibu MowbrayCape town here I come!
Avic town iko kigamboniWakuu nataka nikapumzike Cape Town kama siku 3 hivi. Ndege gani nitapata ticket cheap? Nimechek Rwandair, Ethiopian na Kenya Airways Direct flight to CPT ni maumivu matupu.
Eg. KQ (Dar-CPT-Dar) 889 USD,
Dep: 11/05
Ret: 14/05
Huko kote wapo hao wananchi.Mkuu shukrani Kwa tahadhari. Zaidi ya airport, hotelini, malls, beach na roben island siend popote zaid
Watoto wenye miili yaoanataka akaone watoto wa Kizulu na xhosa! Pia kuona wale totozi Coloured!
Ungekuwa unaenda sehemu hizo ulizotaja na kufikia hoteli za cape town usingeulizia ndege za chukua twende,, kwanza huko beach na baridi ya cape kwa sasa mwenzetu umekuwa mrusi labda sio mbongoMkuu shukrani Kwa tahadhari. Zaidi ya airport, hotelini, malls, beach na roben island siend popote zaid
Punguza chukiUngekuwa unaenda sehemu hizo ulizotaja na kufikia hoteli za cape town usingeulizia ndege za chukua twende,, kwanza huko beach na baridi ya cape kwa sasa mwenzetu umekuwa mrusi labda sio mbongo
Chuki gani mkuu,, now ni winter time ishaanza na baridi hii ya cape beach gani mwenzetu unaendaPunguza chuki
Atajifungia hotel na totoz ya kizulu!Chuki gani mkuu,, now ni winter time ishaanza na baridi hii ya cape beach gani mwenzetu unaenda
[emoji23][emoji23][emoji23]Sasa kama tu ticket ya ndege unaona ni gharama kukata,huko South utaweza kuishi kweli?baki tu hapo kwenu kibaigwa ulime alizeti
Una 500$ na 50$ yangu Nikurushie chap?Wakuu nataka nikapumzike Cape Town kama siku 3 hivi. Ndege gani nitapata ticket cheap? Nimechek Rwandair, Ethiopian na Kenya Airways Direct flight to CPT ni maumivu matupu.
Eg. KQ (Dar-CPT-Dar) 889 USD,
Dep: 11/05
Ret: 14/05
Cape Town hakuna wazulu mkuuAtajifungia hotel na totoz ya kizulu!
Hata mmoja? Basi atachukua coloured!Cape Town hakuna wazulu mkuu