Chifu Nsyepa
Senior Member
- Jul 9, 2016
- 106
- 98
Rais amesema by September Air Tanzania itakuwa na ndege 2.
Nimejiuliza tuna haraka gani na ndege hizo ghali? Na kwa nini tusijenge zahanati kule ambapo hazipo?
Tumekuwa hatuna ndege kwa miaka mingi tu lakini hatujapoteza maisha. Lakini ukosefu wa zahanati umesababisha vifo vingi hasa vya waja wazito kupoteza watoto kwa kujifungulia njiani akiwahishwa kwa baiskeli au kwa miguu Zahanati iliyopo km25 kutoka anapoishi.