Ndasa awa mbogo kikao cha kamati ya Uchumi,ujenzi na Mazingira

mandago shululu

Senior Member
Mar 24, 2013
125
36
Mbunge wa Jimbo la Sumve Ndugu Richard Mganga Ndassa Leo tukiwa kwenye kikao kamati tajwa hapo juu kwa ajiri ya kupitisha bajeti ya Halmashauri ya Kwimba.

Aliungana na waheshimiwa Madiwani kwa hoja ya kuahilishwa kwa kikao kwa Muda wa Massa mawili ili kutoa nafasi kwa Waheshimiwa madiwani kupitia makablasha.

Kanuni za kudumu za Halmashauri,Mh Diwani anatakiwa kupata kablasha kabla ya siku saba ili aweze kilisoma na kuweza kuwa na hoja za kuzungumza siku ya kikao.

Baada ya majadiliano ya waheshimiwa madiwani kumalizika,wataalamu ndipo waliitwa kwa ajiri ya kikao.

kwa kikao hicho waheshimiwa madiwani waliweza kitoa baadhi ya vipengele vilivyokuwa vimepewa kipaumbele.

Miradi iliyokuwa imepewa kipaumbele na Halmashauri ni pamoja na:

1.Ujenzi wa mgahawa wa Halmashauri= 164,441,000
2.Ofsi ya Masjala ya Ardhi=50,000,000
3.Mizinga 200 ya Mizinga ya nyuki=23,000,000.

Miradi hii siyo ya kupewa kipaumbele kulingana na matatizo tuliyonayo hasa katika Halmashauri ya kwimba.

Kuna matatizo mengi sana Secta mbalimbali kama Hospital,Shuleni kutaja ni chache.

Pesa za miradi hii ziletwe na zipangiwe secta zingine.

Hivi ndivyo tulivyokubaliana.

Mandago
Mh,Diwan kata ya M,halanga
K/tibu chadema (W) Kwimba
0765183733/0782270412
 
Back
Top Bottom