Ndani ya SCOAN 29 Dec

Jamani em naomba updates kdg, kuhusu yule anayetekwa east africa vipi alitekwa nani isijekua wengine tulipitwa au bado?
Hii ya mataifa madogo kuinuka inafurahisha, em ngoja tuisubiri tuone kama bongo imo
 
Kaunga asante kwa kuwa nimekuona, mi nimependa zaidi hii
...........Mataifa madogo yatainuka na makubwa yataporomoka.........
Nikiamini siyo mataifa tu hata kwa mtu mmoja mmoja ikianza na mimi.

.........Happy New Year Kaunga ...............
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…