1: Rais wa Malawi ndani ya nyumba ya ibada
2: Deligates kutoka South Sudan, wamekuja na barua kutoka kwa rais akishukuru na kuomba sala zaidi kuhusu unrest iliyopo. Sala imeendeshwa ya cease fire Now.
3: Mwaka 2014 ni 'bridge' year
4: Mataifa madogo yatainuka na makubwa yataporomoka.
5: Opressers next year is not their year.
MUNGU akubariki sana kwa updates zako coz huku Emanuel t.v ina scratch kweli
MUNGU akubariki sana kwa updates zako coz huku Emanuel t.v ina scratch kweli
Naona Bwana Mohamed kutoka Tanzania aponywa Ukziwi katika jina la Yesu
Ubarikiwe sana,kwa kutupatia taarifa,ila huyu rais wa malawi sijui kafuata nini huko,maana huyu mama ni mnafiki sana!
MwanaCBE achana na mzee wa upako. Tunatakiwa tuombe Mungu atupe neema ili kuweza kuweza kulibuka daraja ktk 2014Sasa baada ya huo ujumbe wa South Sudan kufika hapo church na kukiri juu ya unabii aloutoa TB Joshua kwa nchi yao kutokea uasi huyu anayejiita mzee wa upako ataficha wapi upo wake???
Mungu na akuongeze TB Joshua