Viongozi wa Simba Sc ndio tatizo, wamepoteza muelekeo hawajui wanachofanya, kufukuza makocha hovyo ni kuwadanganya wajinga ili waonekane wanafanya kazi, kumbe hakuna kazi yoyote wanayofanya.