Kweli majanga ila squatters za Dar kila mtu mjuaji matokeo yake ndio zinakuwa ni balaa zaidi watu wanajenga mpaka sehemu ambazo mikondo ya maji inapita
Hapo pita mchana sasa kila mtu anajifanya analaumu hii hali na unawezasema hajahusika kutupa wakati usiku kila mtu yupo na kifuko cha uchafu anafanya kukivugumisha kwa mbali tu, huwa najiuliza Dar mitaa mingine hua haina vikundi vya mazingira ambavyo vinapita mara kadhaa kwa wiki kukusanya uchafu na kwenda kuutupa kunakohusika maana hawa wanarahisha kazi kwani mnalipia tu kila kaya lets say buku kwa mwezi mnakuwa mnauweka uchafu kwenye dustbin watu wanakuja kuchua labda mara 3 kwa wiki