Ndani ya daladala kuna vituko! Sikia hii!

Ndani ya daladala kuna vituko! Sikia hii!

Ralphryder

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2011
Posts
5,599
Reaction score
1,801
"Katika basi Mama mmoja alitaka kumnyonyesha mtoto,Mtoto akakataa,Mama akamwambia"nyonya,kama hutaki nampa anko anyonye!"anko ni kaka mmoja abiria aliyeketi na huyo Mama.Mtoto akanyonya kidogo akaa#ha.Mama akamtishia tena kumpa anko.Ndipo yule kaka kwa hamaki akasema"Mama uwe na msimamo.Unajua nimepitiliza vituo vinne kwa ajili yako,hebu kuwa mkweli!! unanipa ninyonye au nishuke?=)}"
 
aisee hii kiboko, kumbe hata wakubwa wanapenda kunyonya eeh
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom