Ndani ya CCM mambo si shwari

Ohhh maji yameshakorogeka.
Nilipo msikia anamwambia Prince kumpeleka mafunzo ya uongozi (akimaanisha hana sifa ya uongozi) nilishaona Dr Nshomile anayo agenda nyingine.
Ukiona kiongozi wa ccm anamvua chupi Makonda ujue kesha jiandaa kukabiliana na Jiwe kwa namna nyingine hapo anachokoza tuu.
2020 utakuwa mwaka mgumu sana ndani ya ccm zaidi ya 2015 ambapo ilibidi mtu asukumiziwe tuu madaraka.
 
Kama wagombea ni Jiwe na Bashiru, kura yako unampigia nani?
 
Wewe Sky Eclat nani huyo tukinukishe
 
Professional Nurse Sky Eclat hizi tetesi, fununu au ndio habari iliyopo mjini kama kweli basi sauti inatosha usiongeze VOLUME
 
Ijue Nguvu ya jasusi Membe! Hili hapa mtalielewa hapo baadaye tu! Jiwe mwache ajidanganye na akina Lowasa na Rostam! Membe ni habari nyingine kwasasa.
Simkubali Kabisa Membe ila bora amtie Changamoto Jiwe. Na Jiwe amalize Kubadilisha TISS Kisa Membe.
 
naomba msaada kufahamishwa katibu mkuu wa hiki chama ni nani?
 

Sky Eclat kuna mtu amekwapua akaunti yako ya jamii forum
 
Unajaribu kujihami kwa kuanziasha propaganda za kijinga baada ya kuona uchaguzi wa Chadema umeanza kukigawa Chama?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…