Ndani ya cape town

Asante mkuu kwa somo nzuri. Nimejifunza kitu kipya
 
Upo sahihi mkuu
 
Ukipada deals zozote za kukuingizia kipato kidogo hamia maeneo kama Sea Point,kuna flats za reasonable rates na ni mitaa poa.
 
Upo kama Xuma a man from noth wa "Mine Boys" by Peter Abrahams alivyoingia Jo'berg [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Picha mkuu
 
Nipo Durban hapa akikubali kuja hapo.. Nawakaribisha Sana huku, Nitafarijika nikiwaona. [emoji5][emoji5]
Kunaishu huko? brother wangu alikua anataka kuzamia mara nyingi mamzuia
 
Ukirudi Tanzania Utakuta Tunaanza Kuwauzia Wazungu Mitumba Maana Viwanda Vitaanza Uzalishaji


Tanzania Ni Tajiri Sana
πŸ˜‚πŸ˜ƒπŸ˜πŸ˜€
😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…