Ndani ya cape town

[emoji1] [emoji1] [emoji1] huku sitoki mpaka kieleweke mkuu
Hapo Capetown kuna masai wengi tu wanauza vinnyago Na dawa za asili.Ubaguzi mwingi kuna club za wazungu tu na ziko za mashoga tu na wasagaji tu uwe makini ukiingia hovyo kuua mtu sio kazi .Pia jiepushe umalaya kama uko kusaka maisha waweza beba mwanamke au mwanaume kumbe jambazi linakupora hadi passport Na Kila kitu chumbani.Watanzania wengi huitwa hivyo.Usiwe Na haraka kumzoea mtu hata kama mtanzania mwenzio au mkenya .Wasalimie table mountains ukipata muda katalii baharini kwa boti au helicopter Na ukipata nafasi katalii roben island alikofungwa Mandela.Baridi vipi mkuu
 
Mkuu shukran kwa ushaur wako,pia ondoa Shaka kwa hilo,nipo making sana coz japo sina MKE wala mtoto ila ndugu zangu wananitegemea
 
Tupia ABC mpaka kufika huko kwa kujibu maswal haya
1;umeenda kihalali au umezamia
2;unaenda kupiga issue gan na kama huna issue umejipangaje
3; kwanini Capetown na sio miji mingine
4;umefata njia zipi mpaka kufka Capetown
Nimekuja kihalali kabisa

Ninaanza na fani ya kunyoa coz nimeshameet na wabongo vinyoz.

Niliambiwa cape town hakuna usumbufu kwa wageni kama johbeg na Durban.


Dar to tunduma,Lusaka, harare mpaka cape town
 
Kumbe SA imejaa Warangi rangi wa Singida?

Hatari sana,Singida oyee.
wakati wa ubaguzi wa rangi kulikuwa na maeneo ya wazungu pure,Waafrika pure Na machotara.Cape town ni eneo la machotara wa kizungu ambao wana wazazi mchanganyiko wa mzungu na mwafrika au mzungu na mhindi au mzungu na mwarabu.Machotara Wao walipewa Capetown . Waswahili Soweto nk
 
Shukran kwa ushaur mkuu,kuhusu kutalii au clubs sio hobby yangu hata robo aisee sinaga mambo za starehe zaid yakugegeda kiwastani.

Barid msimu bado ila hali Ni shwari hakuna joto
 
MA
Mtafute Zari Boss-lady, wewe si timu WASAFI? ATAKUSAIDIA KAZI
 
Nimekuja kihalali kabisa

Ninaanza na fani ya kunyoa coz nimeshameet na wabongo vinyoz.

Niliambiwa cape town hakuna usumbufu kwa wageni kama johbeg na Durban.


Dar to tunduma,Lusaka, harare mpaka cape town
Tofauti ya Capetown na hapa kwa DAB ni nini mkuu ulioiona toka ufike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…