Ndani ya cape town

1;Passport
2;Yellow fever Card
3;Nauli.

Over
Mkuu naomba kwa utaratibu kabisa nipe list ya vitu vya lazima ninavyotakiwa kuwa navyo nikitaka kufika south africa....nisaidie sana kuJua
 
Pamoja mkuu
 
Bro... Naskia kwamba kama unazamia bila passport unaweza kumtoa conductor hela then yeye anamalizan na ma immigration officers pale.B-bridge then unasonga mbela shida.... Hivi kwenye guest umelala ?? Zile cheap in bei gan pay night???
Tafuta passport mkuu acha hizo,guest rent nilipofikia Ni rand 70 per night.Jipange mzee
 
Mkuu, ukaguzi unakuwa mkali sababu huna Passport ama shida ni nini? Just curious
Sijajua ila mi nilikuwa na pasport labda kwa kuwa nilikuwa na private car(sina uhakika)ila nilikaguliwa mbaya hadi nikashangaa japo sikuogopa maana nilikuwa legal sana
 
Unaona ukitaja ndo nn [emoji23][emoji23][emoji23][emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…