Bi zandile
JF-Expert Member
- Sep 12, 2024
- 459
- 1,152
Mke huchanua kwa mapenzi. Mume huchanua kwa ukaribu. Wapendwa, water her heart. Lady share the honey. Hivyo ndivyo bustani ya ndoa inavyostawi.
Stawisha ndoa yako kila siku.
Stawisha ndoa yako kila siku.