Ndani ipo hivi- wataalamu wa mijengo

Ndani ipo hivi- wataalamu wa mijengo

Husninyo

Platinum Member
Joined
Oct 24, 2010
Posts
24,252
Reaction score
10,497
kwa wale wataalam, mnajiita archt........... (hili jina huwa ni gumu). naomba mchanganuo wa gharama wa design hiyo ya kwanza ukiacha finishing. nitalipia hii huduma Jerhy shanelson na wengineo.
 
Attachments

  • my design.JPG
    my design.JPG
    26.6 KB · Views: 1,130
  • mine.JPG
    mine.JPG
    15.6 KB · Views: 685
Last edited by a moderator:
Ni vema, yes kazi iko vizuri.

Kiutaalamu ili mchanganua wa makadrio ya gharama za majenzi uweze kufanyika unategemea sana vipimo, vilivyotumika kusanifu huo mchoro hivyo basi ni vema ukaweka pia au ukatuma na floorplan yenye vipimo, section, roof plan ndio sasa kazi itafanyika.

Ikiwa ndio umegoogle katika blog hiyo na hawakuweka mchoro wenye vipimo basi, ukituwekea ukubwa wa plot yako, tunaweza kudesign upya nyumba yako kwa image hiyo ili kupata mchoro wenye vipimo, ndipo hatua ya ukokotoaji majenzi itafuata.

Asante, watalaam wengine watafuata na mchanganuo kwa kadrii ya uzoefu, ujuzi na umahili wao katika fani.
 
design kwa image hiyo, yaani ndani iwe hivo, vyumba viwili vya kulala moja master, sebule choo..... kama unavyoona. fanya simple design uwezavyo. kuhusu ukubwa wa plot usihofu.
 
kwa wale wataalam, mnajiita archt........... (hili jina huwa ni gumu). naomba mchanganuo wa gharama wa design hiyo ya kwanza ukiacha finishing. nitalipia hii huduma Jerhy shanelson na wengineo.

Hizo ni 3Ds ambazo uhitaji wake ni mdogo Sana kwenye ukadiriaji wa ujenzi,

Na pia, architects ( wasanifu wa majengo) hawafanyi ukadiriaji...

Ukadiriaji ni kazi ya Quantity surveyors, mtafute quantity surveyor utapata msaada zaidi.

au, attach michoro ifuatayo nitakusaidia.
1.Floor plan (with dimmensions)
2. Sections ( with dimensions)
3. Roof plan
4. Foundation plans, and details...

KAMA VIP NI-PM ...
 
Hivyo vyote sina kaka.... yaani hapo ni mteja kaja anataka ramani na cost analysis.. anavyotaka ndo hivo uonavyo kwenye picha.
 
Ni ngumu kufanya cost estimates hapo, vitu vingi utaassume na hautopata realistic cost

Pili, hizo 3ds ziko tofauti sasa sijui ipi inafanyiwa kazi...(picha
ziko tofauti) .

Kama anataka kujenga nyumba nzuri na mtafute architect akupe fully design...ramani za kwenye blog zina 3ds na furniture layouts kuvutia watu tuu.

Tumia ushauri wa kwanza
 
Dada Husninyo, kwa ujenzi wa vyumba viwili na functions zake gharama sio kubwa kwa experience ya ujenzi. Ila ili kupata actual cost ni lazima upate michoro ambayo ipo kamili na iwe 'Detailed'. Kama hutojali karibu tukutengenezee complete file ya kaz yko kwa raman utakayo, karibu kwa 0765141027. Asante!!!
 
Back
Top Bottom